Wapinzani wangeliungana na Hayati Magufuli hakika tungelikuwa tushapata Tanzania Mpya, tatizo ni maslahi binafsi

Wapinzani wangeliungana na Hayati Magufuli hakika tungelikuwa tushapata Tanzania Mpya, tatizo ni maslahi binafsi

Kabisa!..

Kuiokoa Tanzania inabidi kizazi cha kina Nape, Samia, JK, Makamba, Kinana, Membe, Makala, Nchimbi na makundi mengine yote yanauotafuna nchi yaliyojichimbia ndani ya ccm yapotezwe waje watu laini na wapya kama kina Bashiru ndio tuanze kutafuta katiba.

Kazi hiyo Magufuli alikuwa anaiwezea ila matahira ya chadema yakaungana na watesi kutoka ccm yakaanza kumwandama Magu.
Sukuma gang on the move
 
Mambo gani hayo?

Halafu, ni Magufuli ndiye mwanasiasa pekee aliyekuwa na integrity na credibility nchini? Ndio mahaba yenyewe hayo uliyo nayo kwa mwendazake! Au utadai pia kuwa Magufuli hakuwa mwanasiasa.
Kwanini unanilisha maneno?! Wapi nimesema hivyo?

Nakumbuka nimekwambia integrity na hiyo credibility unayoitafuta sio Kwa wanasiasa wa Tanzania wa sasa, Upinzani wala CCM.

Stop projecting, pls.
 
Acheni uongo. Magufuli katangza wazi upinzani umechelewesha maendeleo Tanzania, akapiga marufuku mikutano ya upinzani. Na hata mikutano ya ndani ya upinzani akapiga marufuku. Jamaa alikuwa mjinga Sana. Akafanya nchi Mali yake na CCM. Mwisho akafa akawaacha upinzani wanadunda.
Unachamba ama unatoa hoja?
 
Huyo Magufuli alipata kura za urais Asilimia 57% Tena Kwa mbeleko ya Tume. Ulitaka wapinzani wamuunge mkono wakati uchaguzi haikuwa fair. Mawakala wa Ukawa walivamiwa Kambi yao ila wa CCM wakaachiwa. Maalim Seif akafutiwa ushindi wake kwa sababu za kijinga. Halafu unataka wapinzani wamchekee mtu Kama huyo. Nawapongeza wapinzani kuondoka na kumuachia bunge lake na CCM yake.
Sasa Nani anabishana kuhusu idadi ya kura alizopata ama uhalali wa uRais wake?

Mada ni kuhusu wapinzani kutokumuunga mkono Magufuli katika mambo ambayo mengi ni wao wenyewe upinzani Ndio waliyaibua, umeelewa?

Mambo Kama kupambana na mafisadi na wanyonyaji wa mali na rasilimali za Tanzania.

Matokeo yake wapinzani wakawa upande wa watu wale wale waliokuwa wakiwatuhumu kwenye kashfa za kila aina.

Mleta mada anajaribu ku contemplate kwamba ingekuwaje Kama ingekua tofauti?

Je Kama wapinzani wangeamua kusimama upande wa Magufuli na kupambana na all the demons they used to preach about kwenye mihadhara, Kama Taifa ni hatua ipi tungekua tumepiga na mangapi tungekua tumeyavuka?

What if ile outside penetration aliyoipachika jina “kuunga mkono juhudi” ingetumika with a third eye mentality, hudhani Ndio ingekua golden chance Kwa upinzani kuikula CCM from within?

We can keep on playing games of “who’s the master and who’s the slave”, lakini ukweli wote tunaujua ni vile basi tu these polishits provides for our stomachs and families.
 
Unapoint usipuuzwe. Ukweli ni kuwa upinzani wa nchi hii haujui unachokisimamia hivyo ni vigumu kuwaelewa na nirahisi pia kutumika na baadhi ya wanaccm kwa maslahi yao binafsi na kuacha agenda zao bila kujua wanawavuruga wananchi. Before 2015 agenda yao kubwa na iliyowatambulisha ilikuwa ufisadi, leo hii hawazungumzii tena kana kwamba ufisadi umeisha, wanaona aibu sababu walimpinga JPM kwenye hilo. JPM alitaka tenngeneza mfumo imara wakiutawala utakaochukua raia yeyote mzalendo na mwenye mchango kwa taida bila kujali chama ila wapinzani wao walijikita kujenga chama badala ya nchi.

Punguza uongo. Upinzani walipitia kipindi kigumu wakati wa Magufuli na ndio maana alikufa kifo Cha aibu. Cha kujificha.
 
Sema wewe mpumbavu na fisadi ukapona siyo nchi ...hata jambazi ushukuru police kufa unajua kwa nini?
Nchi nzima watu walifanya sherehe wengine mpaka wakachinja mifugo yao kuonyesha jinsi gani walifurahi. Wewe kila mtu unamuona fisadi mara vyeti fake na ujinga ujinga mwingine. Mtakufa masikini wakati mwenzenu alikuwa anapiga pesa
 
Lissu ana qkili gani ? Kama anazo akili mwite hapa nimuulize maswali mbele yenu ndipo mtakapo mdharau na kumjua kuwa,ni mpumbavu tu kama mama yako

Jiangalie Sana. Wewe upo hapa umejificha na ID ya uongo wakati mwenzio Lissu yupo field anapambana na mafisadi ya CCM. Ulitaka kushinda na Lissu kubali kupinga risasi moja Tena mguuni. Usipende kuropoka wakati hujui gharama ambayo wapinzani wanalipa kwenye mikono dhalimu ya CCM .
 
Back
Top Bottom