DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 1,440
- 3,142
Wahuni kama MBOWE wanatakiwa kupigwa mawe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba kwa nchi za kiafrika sio tiba, level zetu zinahitaji viongozi wehu ila Wenye nia njema na uchungu na nchi zao, jirani mmoja ana Katiba inayodaiwa mpya kila siku majanga kisiasa. Jirani mwingine nchi ndogo inaendeshwa kidikteta, Maendeleo super karibu kila sekta, wamefikia mahali ukijaribu kumpa rushwa askari anakukamata, kila sehemu ni clean, shule zote watoto Wanatumia kompyuta, ujambazi zeroMagufuli hakuwahi kutaka katiba tuache kudanganya watu.
Katiba kwa nchi za kiafrika sio tiba, level zetu zinahitaji viongozi wehu ila Wenye nia njema na uchungu na nchi zao, jirani mmoja ana Katiba inayodaiwa mpya kila siku majanga kisiasa. Jirani mwingine nchi ndogo inaendeshwa kidikteta, Maendeleo super karibu kila sekta, wamefikia mahali ukijaribu kumpa rushwa askari anakukamata, kila sehemu ni clean, shule zote watoto Wanatumia kompyuta, ujambazi zero
HakikaWahuni kama MBOWE wanatakiwa kupigwa mawe.
Inawezekana lkn ww ni mpumbavMi nadhani wewe ndiye mjinga
Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.
Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .
Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.
Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Sijui alitaka wapinzani wafanye nini kingine? 😅😅😅Si wapinzani walikuwa wanaunga mkono juhudi au umesahau harakati za Ndugu Polepole? View attachment 3149671
Mxiuuuuu!Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli
Magufuli alikuwa na chuki ya wazi na wapinzani toka akiwa waziri. Hakuwahi kutaka kuungwa mkono kwa mantiki ya kuheshimiana na upinzani, bali alitaka aungwe mkono kwa kuua upinzani ili abaki akinyenyekewa.Tundu lisu ndiye anabeba lawama zote za kwa nini wapinzani hawakumuunga mkono Magufuli. Yeye ndiye alianzisha wazo la "pingapinga" (kupinga kila kitu) kwa madai ya kwamba Magufuli alianza kutekeleza sera za wapinzani kwa hiyo wao wangekosa cha kuwaambia wananchi. Viongozi wasio na maono ndivyo walivyo.
Ni kweli, laiti wapinzani wangemuunga mkono shujaa wetu, sasa hivi tungekuwa na Tanzania tofauti na ilivyo sasa. Hata ccm lazima ingebadilika. Sasa kwa kuwa watu tuliamua kumsikiliza lisu, basi ngoja tuendelee kuhenyeshwa.
Huu ujinga wa kuwa wapinzani wanapinga kila kitu uliienea sana kipindi cha Magufuli. Cha ajabu hata wasomi walihadaika na hii dhana ya upotoshaji! Hakuna mpinzani alipinga ujenzi wa barabara, shule nk. Hii dhana ya kupinga kila kitu ilitumika ili kufunika uovu wa Magufuli dhidi ya wapinzani waliokuwa wanasema udictator wake uchwara.Jiwe aliwahitaji sana wapinzani kuna kipindi walidai anatekeleza Ilani yao sema ni pinga pinga
ile haikuwa kazi ya MUNGU kusoma hatujui ila picha tunaonaAaah yule baba kwakweli 🙌🙌🙌🙌
Ila basi, kazi ya Mungu haina makosa.
waliopinga mrad wa umeme ni watu gani waliokejeli fly over ni watu gani waliopinga ununuzi wa ndege ni kina nani waliopinga mradi wa sgr hadharan na mengine mengi wakidai anajenga kwao ni watu gani? Sio wapinzani? Haya magufuli aliua demokrasia samia amerejesha demokrasia.Huu ujinga wa kuwa wapinzani wanapinga kila kitu uliienea sana kipindi cha Magufuli. Cha ajabu hata wasomi walihadaika na hii dhana ya upotoshaji! Hakuna mpinzani alipinga ujenzi wa barabara, shule nk. Hii dhana ya kupinga kila kitu ilitumika ili kufunika uovu wa Magufuli dhidi ya wapinzani waliokuwa wanasema udictator wake uchwara.
Wewe ukiwa wa kwanza.Kuna wajinga wanadhani upinzani ni kupinga tu
Acheni unafiki. Leo mnasema jiwe aliwahitaji wapinzani. Si ni huyo jiwe wenu alisema wapinzani wamechelewesha maendeleo Tanzania?. Acha unafiki wewe chawa wa maguJiwe aliwahitaji sana wapinzani kuna kipindi walidai anatekeleza Ilani yao sema ni pinga pinga
Magufuli na huyo Samiah wote mashetani tu. Hakuna wa maana.waliopinga mrad wa umeme ni watu gani waliokejeli fly over ni watu gani waliopinga ununuzi wa ndege ni kina nani waliopinga mradi wa sgr hadharan na mengine mengi wakidai anajenga kwao ni watu gani? Sio wapinzani? Haya magufuli aliua demokrasia samia amerejesha demokrasia.
Acheni unafiki. Leo mnasema jiwe aliwahitaji wapinzani. Si ni huyo jiwe wenu alisema wapinzani wamechelewesha maendeleo Tanzania?. Acha unafiki wewe chawa wa maguJiwe aliwahitaji sana wapinzani kuna kipindi walidai anatekeleza Ilani yao sema ni pinga pinga
Acheni unafiki. Leo mnasema jiwe aliwahitaji wapinzani. Si ni huyo jiwe wenu alisema wapinzani wamechelewesha maendeleo Tanzania?. Acha unafiki wewe chawa wa maguBinafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.
Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .
Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.
Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Acheni unafiki. Leo mnasema jiwe aliwahitaji wapinzani. Si ni huyo jiwe wenu alisema wapinzani wamechelewesha maendeleo Tanzania?. Acha unafiki wewe chawa wa maguUnategemea wangemuunga mkono kina Mbowe wafaidika wa mfumo wa kifisadi nchini .. sasa hivi kahongwa mabilioni katulia anafanya siasa za drama tu..