Wapinzani wangeliungana na Hayati Magufuli hakika tungelikuwa tushapata Tanzania Mpya, tatizo ni maslahi binafsi

Wapinzani wangeliungana na Hayati Magufuli hakika tungelikuwa tushapata Tanzania Mpya, tatizo ni maslahi binafsi

Mavi ni wewe unayetumia ID fake wakati hao wapinzani wanalimwa risasi na Magufuli wako.
Lione lisivyokuwa na akili jinga kabisa. Mzee kibao aliuawa na Dkt Magufuli???? Acha ujinga. Nyie mliua watu mkamsakizia Dkt Magufuli, leo hayupo na watu bado wanaendelea kutekwa na kuuawa hahah sijui hamfamu kuwa wahusika hawakuwa na uhusiano na Dkt Magufuli ila walitumia mwanya wa ukali wake ili kuharibu image yake
 
Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.

Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .

Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.

Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Kwa nini wsungane naye wakati alikuwa anawaua?.
 
Lione lisivyokuwa na akili jinga kabisa. Mzee kibao aliuawa na Dkt Magufuli???? Acha ujinga. Nyie mliua watu mkamsakizia Dkt Magufuli, leo hayupo na watu bado wanaendelea kutekwa na kuuawa hahah sijui hamfamu kuwa wahusika hawakuwa na uhusiano na Dkt Magufuli ila walitumia mwanya wa ukali wake ili kuharibu image yake

Wewe ndio ujiangalie stupid idiot mnuka kinyesi. Magufuli na huyo Samiah wote mashetani. Magufuli alipata adhabu yake bado huyu Samiah naye adhabu yake ipo njiani.
 
Lione lisivyokuwa na akili jinga kabisa. Mzee kibao aliuawa na Dkt Magufuli???? Acha ujinga. Nyie mliua watu mkamsakizia Dkt Magufuli, leo hayupo na watu bado wanaendelea kutekwa na kuuawa hahah sijui hamfamu kuwa wahusika hawakuwa na uhusiano na Dkt Magufuli ila walitumia mwanya wa ukali wake ili kuharibu image yake
Kama waliua polisi si wangewapeleka mahakamani?. Unaandika ujinga na uzee wako.
 
Lione lisivyokuwa na akili jinga kabisa. Mzee kibao aliuawa na Dkt Magufuli???? Acha ujinga. Nyie mliua watu mkamsakizia Dkt Magufuli, leo hayupo na watu bado wanaendelea kutekwa na kuuawa hahah sijui hamfamu kuwa wahusika hawakuwa na uhusiano na Dkt Magufuli ila walitumia mwanya wa ukali wake ili kuharibu image yake

Stupid idiot. Kwa hivyo wapinzani Wana Kinga ya kutokushtakiwa? Wanaweza kuua mtu na wasikamatwe. Alikiona Cha moto , kashindwa kumuua Lissu kafa yeye Tena mafichoni. Very stupid.
 
Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.

Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .

Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.

Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Tanzania Mpya kama ipi? Ile Ile ambayo wote tulikuwa maskini kuanzia mabenki Hadi wakulima wa kusombewa korosho na malaori ya jeshi? Kuwa serious basi.
 
Mbona mleta mada kaiweka kirahisi sana lakini ajabu imekua ngumu kueleweka.

Amesema “Laiti Kama wangemuunga mkono…”

Means the route that Marehemu was taking ni ile ile upinzani walikua lakini ajabu wakamkataa, but if wangemkubali basi ingekua rahisi zaidi Kwa upinzani kuiteka CCM from within maana nafasi aliwapa na aliendelea kuwapa.

Acheni uongo. Magufuli katangza wazi upinzani umechelewesha maendeleo Tanzania, akapiga marufuku mikutano ya upinzani. Na hata mikutano ya ndani ya upinzani akapiga marufuku. Jamaa alikuwa mjinga Sana. Akafanya nchi Mali yake na CCM. Mwisho akafa akawaacha upinzani wanadunda.
 
Unapoint usipuuzwe. Ukweli ni kuwa upinzani wa nchi hii haujui unachokisimamia hivyo ni vigumu kuwaelewa na nirahisi pia kutumika na baadhi ya wanaccm kwa maslahi yao binafsi na kuacha agenda zao bila kujua wanawavuruga wananchi. Before 2015 agenda yao kubwa na iliyowatambulisha ilikuwa ufisadi, leo hii hawazungumzii tena kana kwamba ufisadi umeisha, wanaona aibu sababu walimpinga JPM kwenye hilo. JPM alitaka tenngeneza mfumo imara wakiutawala utakaochukua raia yeyote mzalendo na mwenye mchango kwa taida bila kujali chama ila wapinzani wao walijikita kujenga chama badala ya nchi.
 
Every action has an equal and opposite reaction, simple fact.

Walking away from the Nation's President in the middle of him addressing the Parliament + Nation, Live on the National Tv, who wouldn’t make it personal?

Considering all the facts he had at his disposal of all that was going on those hot days?!

Still he never let his hate blind his vision, the best were picked for Hapa kazi tu!

I’m sure if tables were turned, your reaction would be worse.

Ubaya ni mmbaya zaidi ukifanyiwa na unaye mjua na yeye anakujua na anajua unajua kwamba anakufanyia ubaya makusudi na cha kufanya huna maana unamjua nae anakujua na makusudi ya ubaya wake anajua unayajua na ujanja huna, njia yako Ndio njia yake, even a rat would panic in such a corner!

Huyo Magufuli alipata kura za urais Asilimia 57% Tena Kwa mbeleko ya Tume. Ulitaka wapinzani wamuunge mkono wakati uchaguzi haikuwa fair. Mawakala wa Ukawa walivamiwa Kambi yao ila wa CCM wakaachiwa. Maalim Seif akafutiwa ushindi wake kwa sababu za kijinga. Halafu unataka wapinzani wamchekee mtu Kama huyo. Nawapongeza wapinzani kuondoka na kumuachia bunge lake na CCM yake.
 
Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.

Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .

Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi kifupi tungepata Tanzania Mpya, Tatizo vyama vyetu kuna viongozi maslahi.

Hayati Magufuli alihitaji sana uungwaji mkono na wapinzani na ndio maana hata watu aliyowachukua Upinzani walikuwa ni imara na watendaji wazuri .
Huyo hakupaswa kuungwa mkono na kiumbe veyote. Yeye ndiye chanzo cha matatizo yote haya chanzo ni yeye
 
Kwani kelele za wapinzani na wananchi kuhusu maendeleo ilikua nini siku zote kabla ya Magufuli?

Hivi unapoanza kufanyia kazi malalamiko ya watu then watu hao hao wakaanza kelele na kukuwekea mitego ujitele, wewe utawaelewaje hao watu?

Bado utataka waendelee kupiga hizo kelele za lawama ama wajiunge wafanye kazi ya kuyafanyia kazi makelele Yao?!

Any enemy is best conquered from within.

Magufuli aliingia na chuki kwa wapinzani. Kumbuka alipata Asilimia 57 ya kura. Asingeweza kuwapenda wapinzani hata kidogo.
 
Tundu lisu ndiye anabeba lawama zote za kwa nini wapinzani hawakumuunga mkono Magufuli. Yeye ndiye alianzisha wazo la "pingapinga" (kupinga kila kitu) kwa madai ya kwamba Magufuli alianza kutekeleza sera za wapinzani kwa hiyo wao wangekosa cha kuwaambia wananchi. Viongozi wasio na maono ndivyo walivyo.
Ni kweli, laiti wapinzani wangemuunga mkono shujaa wetu, sasa hivi tungekuwa na Tanzania tofauti na ilivyo sasa. Hata ccm lazima ingebadilika. Sasa kwa kuwa watu tuliamua kumsikiliza lisu, basi ngoja tuendelee kuhenyeshwa.
Sema shujaa wako, usitujumuishe kwenye ujinga wako
 
Umeweka bayana kabisa, akina boya mbowe ni wajinga na wanafiki sana. Kila mtanzania anajua walivyokuwa wanampinga ila pia walivyokuwa na ushiriki wa ili Dkt Magufuli afe wao eti wachukue nchi. Yaani ni wajinga sana, waliomba sana Dkt Magufuli afe, yaani walifanya sherehe kifo cha Dkt Magufuli, yaani walilaani sana ila hawakujua kumbe Dkt Magufuli aliwapenda sana wapinzani kwa sababu ndiyo waliomuweka madarakani, na alikuwa anatakeleza ajenda zao za uadilifu, uchaoa kazi na kukwamua watanzania masikini kiuchumi. Bahati mbaya sana walimuona kama threat kwa wao kuingia ikulu kumbe ndiyo alikuwa anawatengenezea njia rahisi kabisa ya kufika Ikulu. Nimemsikia Zitto anasema ametua Kigoma kushughulikia wagombea wake warudishwe hao walioenguliwa. Nadhani kama wana akili wapinzani waombe radhi watanzania. Yeyote atakayewahi omba radhi hakika 2025 atakuwa rais
Kuna watu tunatamani hata uko aliko afe tena
 
Na
Ulicho andika ni cha kweli ila wenye akili ndogo ni vigumu kuelewa ...waulize wapinzani ni kwanini JPM alikuwa anatamka sana haya maneno ....(ngojeni kwanza ni nyoshe nchi) kuna elimu kubwa sana na akili kubwa sana kwenye haya maneno kwa watu tulio jaliwa akili timamu ...muulizeni mbowe au tundu lissu au zitto hayo maneno yalikuwa na maana gani? Ndiyo utajua kuwa tanzania tunaongozwa na wapumbavu wengi sana..kamwe mbowe lisu na zito awawezi kuelewa hekima ya hayo maneno .....pia JPM alikuwa ni Rais mkweli tofauti na huyu muhuni ambaye wapinzani walimtukuza kwa kumwamini ...yaana unashindwa kumwamini Rais mkweli unakuja kumwamini Rais muhuni...vyama vya upinzani tanzania vimechanganyikiwa kabisa ni upumbavu ulio tukuka....kwa sasa wapinzani walituaminisha kuwa mtu wa kushirikiana naye ni Samia lakini kinacho wakuta wanajuta na wataendelea kujuta zaidi ...kipindi cha JPM ilikuwa ukishirikiana naye yupo piss sana anakuingiza kujenga nchi na kupambania taifa kikweli kweli .....WAPINZANI TANZANIA KUTOKANA NA AKILI ZAO MBOVU WAKA UNDERESTIMATE THE STUPIDITY OF THE STUPID PEOPLE .....SAMIA NI DEATH TRAP...SIYO DEATH KWA UPINZANI TU BALI NA KWA TAIFA PIA...niliwaambia wapinzani ilikuwa rahisi kupata katiba mpya na nzuri na ya haki chini ya mzalendo JPM kuliko huyu muhuni tuliye naye sasa walinipingakwenye huo ukweli vibaya sana na sababu za kunipinga ni ....(walishindwa kufumbua fumbo la magufuli la ngojeni kwanza ninyoshe nchi)
Mimi nashukuru kwa Mungu kuingilia kati na kumfyekelea mbali na nchi ikapona.
 
Back
Top Bottom