Mpenzi kimekuchekesha kipi ????
Yaaani wanaboa sana wanatufanya wenzao wajinga sana kama vike hatujui mahesabu
Kwanini usinunue buchani amu ?
Nusu ya uhakika ni sh. 4000-4500. Ya kutosha kabisa, kama mko watu wawili/watatu mnakula na mnabakisha.
Ivi izo mashine zipo siku hizi? Nazikumbuka zamani sana. Zamani lazima ununue nyama usage mwenyewe kwa hio hand grinder lkn baada ya kuanza kuuziwa nyama zilosagwa mabuchani basi hata hizi mashine nazo zimepotea
Am waiting ioa shipping cost itanumiza
We mmasai sijakuelewa huku tandahimba hakuna shoprite