Wapishi wenzangu msaada

Wapishi wenzangu msaada

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
16,132
Reaction score
31,149
Nahitaji ile meat hand grinder kibongo bongo naipata wapi hapo dar nimtume mtu anichululie na sh ngapi??
Maana hawa wahindi wa supermarket kumaynina zao nyama hata robo haijafika eti 5000 ???
Wizi huu msaada jamani hata iwe used inisagie nyama ya kula mwenyewe.
 
Hahahahha amu walahi we mwanamke I wish nije nikutane nawe F2F
 
Last edited by a moderator:
Yaaani wanaboa sana wanatufanya wenzao wajinga sana kama vike hatujui mahesabu

Kesho ntakupa link ununue online my dear, si $ iko kidogo? Upate genuine meat slicer
 
Kwanini usinunue buchani amu ?

Nusu ya uhakika ni sh. 4000-4500. Ya kutosha kabisa, kama mko watu wawili/watatu mnakula na mnabakisha.
 
Last edited by a moderator:
amu shosti wangu kwa mahesabu hujalala lol nimechekaaaa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kwanini usinunue buchani amu ?

Nusu ya uhakika ni sh. 4000-4500. Ya kutosha kabisa, kama mko watu wawili/watatu mnakula na mnabakisha.

Huku kwetu mabuchani hakuna nyama ya kusaga nipo mkoa shosti sehemu pekee wanayouza ni supermarket za wahindi tu.
Hiyo bei balaa
 
Last edited by a moderator:
Ivi izo mashine zipo siku hizi? Nazikumbuka zamani sana. Zamani lazima ununue nyama usage mwenyewe kwa hio hand grinder lkn baada ya kuanza kuuziwa nyama zilosagwa mabuchani basi hata hizi mashine nazo zimepotea
 
Zamani zilikuwa zinapatikana wap/kuuzwa ujue huko kwenu ndo wanauza mabuchani huku kwetu anayeuza ni mhindi supermarket na hajafika hata robo 5,000 yaani ukiila tonge moja tu imeshaisha
 
amu shosti wangu kwa mahesabu hujalala lol nimechekaaaa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Achana kabisa na mchumi first class
 
Last edited by a moderator:
Am waiting ioa shipping cost itanumiza
meat-grinder-gun.jpg
 
Back
Top Bottom