Wapo wabunge watetezi wa Watanzania mmoja wapo ni Luhaga Mpina

ITV siku hizi imeshuka viwango
 
Mungu akutunze daima mheshimiwa Mpina. Vikaragosi wasikusumbue hata kidogo. Viva great thinker
 
uko sahihi
 
Hakuna kitu....bado mnawaamini wanasiasa ....
Polenii

Ova
 
Mpina lini kageuka mtetezi wa wananchi?
Mnakumbuka kiburi cha Mpina enzi zake akiwa waziri wa mifugo na uvuvi?

Alichoma nyavu na kutwaa mitumbwi ya wavuvi bila huruma. Ni Mpina huyu huyu aliyebatizwa jina na jiwe na kuitwa "waziri kichaa" kwa ukatili wake.

Ni Mpina huyu huyu aliyemtoa machozi bungeni mzee Abdallah Bulembo kwa ukatili wake.

Uzalendo wa Mpina umeanza lini?
 
Lengo ni kuwakamua wengi wawe masikini
 
Mwananchi atajitetea mwenyewe kibaruani kwake. Kanuni zipo hivyo. Hao wote wamo bungeni kitetea ugali wa familia zao
 
Hata mimi sina shaka hata kidogo na Luhaga Mpina.
Ni Mbunge asiyeogopa kitu. Panapotakiwa kuhoji, anahoji kweli kweli.
 
Katika hayo uliyoandika bado huuoni Uzalendo wa Mpina? Wewe ni KENGE
 
Katika hayo uliyoandika bado huuoni Uzalendo wa Mpina? Wewe ni KENGE
Namuona kama amejaa makasiriko
na serikali ya Samia kwasabb ulaji aliyokuwa akiupata enzi za sukuma gang haupo tena. Mpina ni sukuma gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…