Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana Septemba 9 2020 nilikuwa nafuatilia Kipindi cha Kipima Joto kinachotangazwa na ITV na mtangazaji Mpayo nikamsikia mzungumzaji mmoja akisema wabunge wamekaa kimya bungeni na kupitisha tozo badala ya kuishauri Serikali maeneo muhimu ya kuongeza ukusanyaji wa mapato nakubaliana naye kwa kiasi fulani.
Lakini ninao ushahidi wa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ambaye alishauri mambo mengi kuhusiana na ukusanyaji wa mapato na namna Serikali inavyoweza kukusanya mapato mengi bila kuwaumiza wananchi lakini kwa Kiburi cha Kinyiramba cha Waziri wa Fedha Mwigulu hatutaka kusikiliza.
Msikilize kwa makini neno kwa neno Mpina utagungua kama Mwigulu angesikiliza ushauri huu leo taifa lisingefika hapa lilipo kuhusu tozo.
Tuwe wakweli sio kweli kwamba wabunge wote wako kimya kutetea wananchi hata kama wako wachache lakini wapo.
Ndo umechangia niniITV siku hizi imeshuka viwango

Katika hayo uliyoandika bado huuoni Uzalendo wa Mpina? Wewe ni KENGEMpina lini kageuka mtetezi wa wananchi?
Mnakumbuka kiburi cha Mpina enzi zake akiwa waziri wa mifugo na uvuvi?
Alichoma nyavu na kutwaa mitumbwi ya wavuvi bila huruma. Ni Mpina huyu huyu aliyebatizwa jina na jiwe na kuitwa "waziri kichaa" kwa ukatili wake.
Ni Mpina huyu huyu aliyemtoa machozi bungeni mzee Abdallah Bulembo kwa ukatili wake.
Uzalendo wa Mpina umeanza lini?
Namuona kama amejaa makasirikoKatika hayo uliyoandika bado huuoni Uzalendo wa Mpina? Wewe ni KENGE