Uchaguzi 2020 Wapo wagombea wa CHADEMA ambao wakirudishwa na Tume basi kwa hawa CCM weupe moto utawaka. FA hamna kitu aisee

Uchaguzi 2020 Wapo wagombea wa CHADEMA ambao wakirudishwa na Tume basi kwa hawa CCM weupe moto utawaka. FA hamna kitu aisee

Ngoja tuone kama kweli hawa Wabondei wanahitaji mabadiliko.
 
Tatizo hawa Chadema hata mkoa wa tanga hawaujui
Tanga hata akigombea mwanachadema peke yake atapigiwa kura za hapana

Tanga ni ccm
Mbunge wa Tanga Mjini Musa Mbarouq alikuwa ccm?
Tanga ulifahamu idadi ya madiwani wa upinzani waliochaguliwa 2015?
 
Hiyo hiyo Muheza
Sehemu pekee ya ukanda wa mwambao wa pwani Tanzania ambao wanaweza wakaimwaga CCM ni Dar es salaam (sababu majority siyo wenyeji kiasili), na Pemba na Unguja kwa sababu zilizo wazi
 
Kiupendeleo wangekuwa wanateuliwa Viti maalumu huku kuwakilisha jamii at large na si jimbo. Mtu inatakiwa jimbo ateuliwe kupeperusha bendera kwa uwezo na sio kiupendeleo. Muheza wote ni wasanii?
Polepole alisema wanampa upendelea kuwakilisha wasanii.

Sasa sijajua wasanii wana eneo gani la ubunge aka jimbo la wasanii.
 
k
Muheza 2015 mgombea wa CDM alishinda sema yule boya aliongwa akala mpunga wake akasepa zake, kwa mkoa wa Tanga sehemu ambayo kumekucha sana wananchi hawaitaki ccm ni Muheza ili jimbo kwakweli wabondei wanajitambua balaaaa
kwani tanga mjini mbunge aliyemaliza muda wakew ni chama gani
 
Maccm hayana akili ni misukule ya kutafuta vyeo basi....
 
Huyu mgombea wa ubunge Jimbo la Muheza kwa tiketi ya Chadema akirejeshwa na Tume na naamini atarejeshwa, basi kuna wana CCM nyeti zitaonekana waziwazi.

Huyu Mwana FA ni mweupe mpaka anatia huruma, hapa ndipo ninapowaza Magufuli alitumia vigezo vipi kuwapitisha hawa utopolo. Ila na yeye si tunamjua? Tusishangae.

CCM hamna kitu, wanabebwa tu na tume
 
Back
Top Bottom