Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Hili ndilo kundi kubwa linaloibuka kwa kizazi hiki cha dot.com, kijana akishasoma na kuhitimu na bahati mbaya ajira ya fani yake ikachelewa kidogo huwa hajiongezi hata kidogo unfortunately linalofuata ni kukata tamaa na kuona serekali hii mbaya Sana labda lissu atakapokuwa rais nitapata ajira na hisia zake zote humtuma anaonewa tu na utawala huu uliopo!
N. B: Nina kijana wangu muhitimu hapa leo amenishangaza kweli, kwa kupitia tu, fursa zilizopo mitandaoni ameniazima kiasi cha laki moja, akaenda zake kariakoo akanunua bidhaa ambazo tayari ana oda nazo akazipeleka kwa wahusika hakika akajipatia alfu 50,000/-nikastaajabu kweli, na laki yangu akanirejeshea.