Wapo waliohitimu na ajira hawajapata, kazi nje ya utaalamu wao hawataki na hata kuiljiongeza hawapendi

Wapo waliohitimu na ajira hawajapata, kazi nje ya utaalamu wao hawataki na hata kuiljiongeza hawapendi

Masters ya MD alafu fundi Rangi?

Aisee Kuna CHAI na kuna GAHWA
Tena gawaha grade 1 zile chungu kama kwinini🤣🤣.. Unless iwe ni interest.. Alafu masters ya MD ni ipi maana masters zipo nyingi.degree ya MD sawa ila masters ya MD tueleweshane ni ipi huenda hatuifahamu. Au kama vipi ntafte kashata za ufuta hapa tuendelee kupiga mluzi 🤣🤣🤣
 
Hahahahahhahahahhahhh ,inaumiza sana wahuni wanaona bora wao waliojiongeza mapema kujichanganya mitaani.
Na usipoonekana mtaani wanakusaka umeenda wapi au umeelekea wapi?

Kuna Jamaa graduate kamaliza Telecom katafuta kazi weee sasa kachoka kaamua kua mtu wa kupiga nguo za kazi tu na kuingia town km anaenda kazini kumbe anaenda kupiga mizunguko tu posta k/koo, asubuhi kachomelea smart utasema anaenda ofisini kumbe daah acha tu
 
Hili ndilo kundi kubwa linaloibuka kwa kizazi hiki cha dot.com, kijana akishasoma na kuhitimu na bahati mbaya ajira ya fani yake ikachelewa kidogo huwa hajiongezi hata kidogo unfortunately linalofuata ni kukata tamaa na kuona serekali hii mbaya Sana labda lissu atakapokuwa rais nitapata ajira na hisia zake zote humtuma anaonewa tu na utawala huu uliopo!

N. B: Nina kijana wangu muhitimu hapa leo amenishangaza kweli, kwa kupitia tu, fursa zilizopo mitandaoni ameniazima kiasi cha laki moja, akaenda zake kariakoo akanunua bidhaa ambazo tayari ana oda nazo akazipeleka kwa wahusika hakika akajipatia alfu 50,000/-nikastaajabu kweli, na laki yangu akanirejeshea.

View attachment 2755517
Mropokaji wewe , huna unalojua .
Just shut your dirty ass up !
 
Ukikua utaacha huo utoto ulionao na utaona jinsi ilivyo ngumu kwa kijana kusucceed kwenye uchumi hoi wa nchi hii .
 
Tanzania watu wanachekelea hili suala na kuona ni kawaida , hili ni bomu
Nchi yoyote makini na yenye watu na viongozi wenye akili timamu na maono huwa ina track kujua unemployment rate na kuweka sera madhubuti kupambana na hii hali .
Ila nchi za ovyo kama hizi ndio unakuta mambo ya ovyo kama hayo watu wanachekelea na kuona hiyo hali ni normal .
Huwezi kuwa na serikali inaspend billions kila mwaka kugharamia masomo ya wanafunzi elimu ya juu halafu wanaishia kuwa jobless , skills zao kulingana na fani walizopata hazitumiki kujenga taifa ,na inakuwa ni ngumu hata kurudisha hiyo mikopo iliyotumika kuwasomesha .
Mtu aende chuo kusoma halafu arudi kubena zege watu mchekelee as if ni kitu cha kawaida !
Akili ya Mtanzania bwana !
 
Tanzania watu wanachekelea hili suala na kuona ni kawaida , hili ni bomu
Nchi yoyote makini na yenye wayu na viongozi wenye akili timamu na maono huwa ina track kujua unemployment rate na kuweka sera madhubuti kupambana na hii hali .
Ila nchi za ovyo kama hizi ndio unakuta mambo ya ovyo kama hayo watu wanachekelea na kuona hiyo hali ni normal .
Huwezi kuwa na serikali inaspend billions kila mwaka kugharamia masomo ya wanafunzi elimu ya juu halafu wanaishia kuwa jobless , skills zao kulingana na fani walizopata hazitumiki kujenga taifa ,na inakuwa ni ngumu hata kurudisha hiyo mikopo iliyotumika kuwasomesha .
Mtu aende chuo kusoma halafu arudi kuendesha bodaboda watu mchekelee as if ni kitu cha kawaida !
Akili ya Mtanzania bwana !
 
Jamii inawachukulia negative sana wahitimu kiukweli wanajituma na kujiongeza sana lamda siku wajitwishe maghorofa ndo waone kama wanajituma na kujiongeza sana tu
 
hivi kunamtu amesomea uinjinia,udaktari au unes na akakosa ajira?
tatizo kijanamwingine unamuuliza chuo ulisomea nini hanamajibu yakueleweka.
Unaandika upuuzi , usiwe unaandika mambo bila kufanya utafiti .
 
Back
Top Bottom