Hili ndilo kundi kubwa linaloibuka kwa kizazi hiki cha dot.com, kijana akishasoma na kuhitimu na bahati mbaya ajira ya fani yake ikachelewa kidogo huwa hajiongezi hata kidogo unfortunately linalofuata ni kukata tamaa na kuona serekali hii mbaya Sana labda lissu atakapokuwa rais nitapata ajira na hisia zake zote humtuma anaonewa tu na utawala huu uliopo!
N. B: Nina kijana wangu muhitimu hapa leo amenishangaza kweli, kwa kupitia tu, fursa zilizopo mitandaoni ameniazima kiasi cha laki moja, akaenda zake kariakoo akanunua bidhaa ambazo tayari ana oda nazo akazipeleka kwa wahusika hakika akajipatia alfu 50,000/-nikastaajabu kweli, na laki yangu akanirejeshea.
Wahitimu wa sasa wanajiongeza sana, ila vibarua vyenyewe pia hakuna, na hivyo vibiashara vidogo wanavyozunguka navyo vinakosa wateja, so mitaji yao midogo inakata. Wasomi wa sasa wanapambana sana.
Na mafisa usafirishaji kila kijiwe cha boda uwez kosa wasomi.
Ila ukweli usemwe wasomi tunaumia sana tukikosa kazi za taluma yetu maana ukienda kuwa afsa ubashir/usafirishaji au saidia fundi unakutana na wana walioacha shule ni kukutukana tu mzee😭😭

Ila ukweli usemwe wasomi tunaumia sana tukikosa kazi za taluma yetu maana ukienda kuwa afsa ubashir/usafirishaji au saidia fundi unakutana na wana walioacha shule ni kukutukana tu mzee[emoji24][emoji24]