Wapo wapi Neema Diwani, Flora Nducha na Misanya Dismas Bingi?

Kwa hiyo weee hadi sasa Ni mjeda?
 
Nashindwa kujua wengi wenu mnaongelea ITV ya miaka ipi haswa! Kile kipindi cha DJ show, igizo la Maisha la kina Rich, Bishanga, nk, miaka ya 97/98 au?
 
Misanya Mzee wa ulabu...humkosi pale survey manguruwe!
 
Misanya alikua anakera ye kila dakika anaongea. Kuna siku mshkaji kamuomba waongee of air jamaa kamwambia tayari tuko off, si akamrusha live bana. Ni mtu wa misifa
 
Misanya Bingi yule wa Chemsha Bongo hahah aligraduate masters juzjuzi hapo UD kama sijakosea

Flora Nducha mara ya mwisho nilimsikia VOA swahili kama sio BBC swahili


Flora Nducha pamoja na Joseph Msami wapo Radio ya Umoja wa Mataifa Idhaa ya Kiswahili pale New York City, USA
 
Misanya na kipindi chake cha kipusa utasikia "bingiiz ikisindikizwa na kipusa " usiombe ukose swali alikimudu sana kipindi huyu cha.pombe
Hakuna chapombe km sogdog alishafukuzwa RFA aliweka CD akaenda bar zikakwama,chapombe mwingine ni fredwah ila clouds kabanwa sn maana kapewa kipindi alfajir wamemuweza aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…