bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,985
Kwa hiyo weee hadi sasa Ni mjeda?Aaah ! Umenikumbusha mbali aisee ! Flora Nducha na Deo Mshigeni nilisota nao hapo Oljoro JKT (833 KJ) Tukiwa pamoja kombania G mwaka 1993. Mimi na
Doe tulikuwa mabwana shamba wa Bustani ya kombania. Siku yeye na Flora wanatoroka kwenda kufanya interview ITV nakumbuka aliniaga nikatunza siri.