ni Misanya Bingi au Bisanya Bingi?Dah Hawa watu ni kitambo sana kuwasikia, hasahasa Bisanya Mzee wa kipusa. Ha ha ha ha
huyo misanya ni chapombe hasa pia tulijuimuika meza ya duara pamoja hapa mwenge na hayati nyaisanga wote hao walikuwa noma mtu anakunywa hadi zinafyatuka!Hakuna chapombe km sogdog alishafukuzwa RFA aliweka CD akaenda bar zikakwama,chapombe mwingine ni fredwah ila clouds kabanwa sn maana kapewa kipindi alfajir wamemuweza aisee
Nducha hukohuko U.S, VOA ama radio ya U.N,Misanya bingi yupo udsm mhadhiri, neema diwani yuko usa anaishi huko, nducha????
Huyu dogo alikuja miaka ya 2000 na mambo yake ya abubakari sadiki kwa fujooo.... Alikuwa anazipatia sana bongo fleva za ukweli enzi hizo kila saa nane, enzi hizo wakina master j, pfunk wanafanya kweli, mziki ulikuwa mtamu balaaa...Abuubakari sadick
,Rose chitala
IDD ligongo(Biko)
Bas alihamia hukoFlora Nducha pamoja na Joseph Msami wapo Radio ya Umoja wa Mataifa Idhaa ya Kiswahili pale New York City, USA
Kuna siku aliwahi kutukanwa kwenye kipindi, nilifadhaika sana.Misanya alikua anakera ye kila dakika anaongea. Kuna siku mshkaji kamuomba waongee of air jamaa kamwambia tayari tuko off, si akamrusha live bana. Ni mtu wa misifa
Ndiyo - reserved mjedaKwa hiyo weee hadi sasa Ni mjeda?
Mzee wa kipusa Abdallah Majura nakumbuka hiyo Redio huko Dodoma ni Mali yake na misanya kama hakuondoka UDSM ni mkufunzi hapo kwenye kumbukumbu nzuri tuambieniHapo umetuibia mkuu. Mzee wa kipusa ni abdallah majura. Yuko dodoma anatangaza redio flani nimeisahau
bety mkwasa yuko wapi
Nimepokea kwa shock taarifa ya kifo cha Misanya Bingi, nilifanya nae mahojiano wakati wa msiba wa Uncle J.Wnajamvi mada hapo juu yakukumbusha kama sio mdogo sana kiumri. ITV na Radio One walikuwa na WATANGAZAJI hapo juu. Sijui wapo wapi hivi sasa na wanafanya mini? Mwenye kujua tushirikishane. Kifupi Flora Nducha na Misanya walikuwa Redioni huku NEEMA Diwani akiwa ITV.
Nimepokea kwa shock taarifa ya kifo cha Misanya Bingi, nilifanya nae mahojiano wakati wa msiba wa Uncle J.
RIP MISANYA DISMAS BINGI!
P.
ni meneja wa radi ya kibo fm ya mheshimiwa mbowe, kule machame,Majurah hakai tegeta anakaa mbweni mkuu
Nisaidie jamaa mwingine alikuwa anaiywa abdalaha hussem dullah
Radio ya Marehemu Mzee NdesamburoDula yupo Kibo FM Moshi, radio ya Kamanda Mbowe