Wapo wapi Neema Diwani, Flora Nducha na Misanya Dismas Bingi?

Wapo wapi Neema Diwani, Flora Nducha na Misanya Dismas Bingi?

Hakuna chapombe km sogdog alishafukuzwa RFA aliweka CD akaenda bar zikakwama,chapombe mwingine ni fredwah ila clouds kabanwa sn maana kapewa kipindi alfajir wamemuweza aisee
huyo misanya ni chapombe hasa pia tulijuimuika meza ya duara pamoja hapa mwenge na hayati nyaisanga wote hao walikuwa noma mtu anakunywa hadi zinafyatuka!
 
Misanya alikua anakera ye kila dakika anaongea. Kuna siku mshkaji kamuomba waongee of air jamaa kamwambia tayari tuko off, si akamrusha live bana. Ni mtu wa misifa
Kuna siku aliwahi kutukanwa kwenye kipindi, nilifadhaika sana.
 
Neema Diwani yupo marekani ameolewa ni mama wa watoto wawili.
 
Hapo umetuibia mkuu. Mzee wa kipusa ni abdallah majura. Yuko dodoma anatangaza redio flani nimeisahau
Mzee wa kipusa Abdallah Majura nakumbuka hiyo Redio huko Dodoma ni Mali yake na misanya kama hakuondoka UDSM ni mkufunzi hapo kwenye kumbukumbu nzuri tuambieni
 
Taarifa za asubuhi Dr Misanya Bingi ni marehem. Alikuwa amelazwa icu muhimbili baada ya kupatwa na stroke
 
Wnajamvi mada hapo juu yakukumbusha kama sio mdogo sana kiumri. ITV na Radio One walikuwa na WATANGAZAJI hapo juu. Sijui wapo wapi hivi sasa na wanafanya mini? Mwenye kujua tushirikishane. Kifupi Flora Nducha na Misanya walikuwa Redioni huku NEEMA Diwani akiwa ITV.
Nimepokea kwa shock taarifa ya kifo cha Misanya Bingi, nilifanya nae mahojiano wakati wa msiba wa Uncle J.

RIP MISANYA DISMAS BINGI!
P.
 
Ulikuwa na taarifa za kuugua kwake?
Angekuwa jiwe ndio kadanja kungekuwa shangwe kila mtaa isipkuwa makaburini maana kila marehemu angekuwa anapambana jiwe lisilazwe next to........
Nimepokea kwa shock taarifa ya kifo cha Misanya Bingi, nilifanya nae mahojiano wakati wa msiba wa Uncle J.

RIP MISANYA DISMAS BINGI!
P.
 
Majurah hakai tegeta anakaa mbweni mkuu


Nisaidie jamaa mwingine alikuwa anaiywa abdalaha hussem dullah
ni meneja wa radi ya kibo fm ya mheshimiwa mbowe, kule machame,
na pia anatangaza hapo hapo
 
Back
Top Bottom