ngoma ya ukae
JF-Expert Member
- Feb 8, 2017
- 611
- 618
Yu wapi Aunt Ndina Mongenzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majurah hakai tegeta anakaa mbweni mkuu
Nisaidie jamaa mwingine alikuwa anaiywa abdalaha hussem dullah
Majurah hakai tegeta anakaa mbweni mkuu
Nisaidie jamaa mwingine alikuwa anaiywa abdalaha hussem dullah
Amefungua radio yake hapo DOM.Hapo umetuibia mkuu. Mzee wa kipusa ni abdallah majura. Yuko dodoma anatangaza redio flani nimeisahau
Hahaha long time mkuu hiyoNikisikia Misanya Bingi moja kwa moja nakumbuka KIPUSA radio one stereo
Inaitwa ABM RadioAmefungua radio yake hapo DOM.
A yupo Kibo fm anakula shavuDula yupo Kibo FM Moshi, radio ya Kamanda Mbowe
ABM radio na ni ya kwake mwenyewe Majura.Hapo umetuibia mkuu. Mzee wa kipusa ni abdallah majura. Yuko dodoma anatangaza redio flani nimeisahau
Mkurugenzi wa Makinikia huko Chunya-Mbeyabety mkwasa yuko wapi
Ni kweli kabisa Dull
A yupo Kibo fm anakula shavu