Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 489
- 1,102
Wanajamvi naomba kujua walipo kwa sasa watangazaji wa zamani wa chanel five.Adamu Mubago(bab kubwa) na pia Abba one na Lil Tk(back 2 back)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watangazaji niliokuwa nawakubali sana sana....RFA na STAR TV.....KISS FM nilikua sio mfuatiliaji....
Wakifuatiwa na Radio Tanzania Dar es salaam
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ni msukuma usibishe!!
masoud masoud,DJ john D....Kizazi cha kina abdallah mwaipaya,julius nyaisanga,abubakar sadiki...... tutulie tu
Wewe ni msukuma usibishe!!
Kuna mtangazaji rfa alikua anaitwa Loi Maganga Flola macha tbc Ezekiel Malongo .
Akina Flora Nducha na Amina MolelKizazi cha kina abdallah mwaipaya,julius nyaisanga,abubakar sadiki...... tutulie tu
alikuwa anajiita bart kombwa/komba rtd singida. alikuwa chapombe sanaBARTHOLOMEO KOMBA?
Penzi NYAMUNGUMI? Mnawajua hawa au mmewahi kuwasikia?
Kuna double g (godwin gondwe) kabla hajaingia kuwa mtesi wetu (Siasa)Roy Maganga na Muhsin Mambo hatunao tena mkuu.
Hivi kuna station gani ilikua the best kuizidi RFA? Hakuna! Walikuwepo akina,
Fredrick bunsala,
Beatrice bach,
Mtoto wa mama sabuni/Glory Robinson,
Rahabu Fred mke wa Fredwaaa
RFA ya kina baruan muhuza
RFA ya kina kamkulu (hindustyle)
RFA ya kina Gabriel zakaria
RFA ya kina juma baragaza
RFA ya kina samadu hassan
RFA ya kinalytu
RFA ya kina zuberi msabaha
RFA ya kina Sky walker
Ndio ndio..kina misanya bingi,fatuma shemweta,eziekel malongoAkina Flora Nducha na Amina Molel