Wapo wapi watangazaji hawa?

Wapo wapi watangazaji hawa?

Watangazaji niliokuwa nawakubali sana sana....RFA na STAR TV.....KISS FM nilikua sio mfuatiliaji....


Wakifuatiwa na Radio Tanzania Dar es salaam
 
Wewe ni msukuma usibishe!!

Kwahiyo Wewe kama sio msukuma hupaswi kuwatendea haki hata kama wanafanya vizuri!!! Hivi kuna station gani hapa nchini and All east Afrika iliyokua inatamba kama RFA!!!!! hivyo vistation vyenu huko dar vya juzi vina sifa gani kuwazidi hawa wakongwe RFA na KISS FM!!! Umbea ama!!!!


 
Kuna mtangazaji rfa alikua anaitwa Loi Maganga Flola macha tbc Ezekiel Malongo .

Roy Maganga na muda sijamtia machoni, Muhsin Mambo hatunae tena mkuu.

Hivi kuna station gani ilikua the best kuizidi RFA? Hakuna! Walikuwepo akina,

Fredrick bundala,

Beatrice labach,

Mtoto wa mama sabuni/Glory Robinson,

Rahabu Fred mke wa Fredwaaa

RFA ya kina baruan muhuza

RFA ya kina kamkulu (hindustyle)

RFA ya kina Gabriel zakaria

RFA ya kina juma baragaza

RFA ya kina samadu hassan

RFA ya kinalytu

RFA ya kina zuberi msabaha

RFA ya kina Sky walker
 
Roy Maganga na Muhsin Mambo hatunao tena mkuu.

Hivi kuna station gani ilikua the best kuizidi RFA? Hakuna! Walikuwepo akina,

Fredrick bunsala,

Beatrice bach,

Mtoto wa mama sabuni/Glory Robinson,

Rahabu Fred mke wa Fredwaaa

RFA ya kina baruan muhuza

RFA ya kina kamkulu (hindustyle)

RFA ya kina Gabriel zakaria

RFA ya kina juma baragaza

RFA ya kina samadu hassan

RFA ya kinalytu

RFA ya kina zuberi msabaha

RFA ya kina Sky walker
Kuna double g (godwin gondwe) kabla hajaingia kuwa mtesi wetu (Siasa)
 
Back
Top Bottom