ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Chris yupo Next Radio Uganda hua namsikliza j'mosi 16pm to 8pm , John Karani yupo KBC English kenya, Bush baby sasa hivi anamiliki radio station yake Uganda inaitwa galaxy fmWapi Lazaro matalange,Aisha Mohammed, profesa vipi,John karan,Claudia Mayanka dj Chris.
Hakika sahara walitisha sana enzi hizo