Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

Mama anaakili sana ,siku zote kwenye maisha jifanye mjinga, hakuna mtu atakushambulia!

Mama ni mjanja kacheza na psychology ya wanasiasa wa Tanzania, kula na kupuliza huku akijifanya mnyenyekevu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio tunaumia kupitiliza maisha magumu kuliko awamu zote zilizopita
 
Wakiwatetea wao peke yao ndiyo wanakula kisago, hakuna support kutoka kwa wananchi. Na juu yake munawacheka.

Sasa bora mtu aendelee na maisha yake na familia yake mpaka siku yake ya kuondoka duniani ikifika aende zake kimya kimya.
Wote tukiwa na akili Kama zako tutateseka sisi mpaka vizazi vyetu ni uwoga tu na unafiki.
 
Muda walipokua wanawatetea mlikua wapi?

Uliunga mkono utetezi au juhudi za chama?

Yaani ningekua "flani" ni kupiga kimyaa na 2025 CCM ijae tena akili iwakae.[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Unajikomoa mwenyewe na familia yako kwani wewe upo China si upo Moshi wewe tutakoma sote
 
Kila mtu ana price tag, SUGU alimuita kwenye uzinduzi, wa ubelgiji kalipwa MAFAO, wa kanada analipiwa mkopo Bank, na dj kafutiwa kesi ya UGAIDI....
 

Labda urejee ulichoandika mapema na ulichoandika hapa kuwa na uhakika unasema nini au husemi nini?

Iko hivi wavumao baharini ni papa lakini na wengine wapo.

Muda wa mapinduzi vyamani ni sasa

Wewe kama zako huwa ni kujikalia nyumbani si uendelee tu? Kulikoni hata kutuhoji wengine tulikokuwa huku joga lenyewe ni wewe?
 
Jamani wamechoka na umri unakwenda, hebu jaribuni kubadilisha chombo na dereva, sasa madereva ni hao hao tuu tokea zama za Abunuwasi.

Vyama vya upinzani vinahitaji Damu mpya na changa
 
Wakiwatetea wao peke yao ndiyo wanakula kisago, hakuna support kutoka kwa wananchi. Na juu yake munawacheka.

Sasa bora mtu aendelee na maisha yake na familia yake mpaka siku yake ya kuondoka duniani ikifika aende zake kimya kimya.

Kwani nani anafanya kazi ya kumtetea nani hata anapata kisago na kuchekwa?

Kwani JKNIA, Kiluvya nk nani alikuwa peke yake huko?

Au ilipobidi kuchanga pesa hadi kumtoa mashinji mbaroni mnaojaribu kuwasahau hawakuwapo?
 
Nao wamechanganyikiwa hawaelewei wasemee kipi.....
 
Mashangazi wataifa kimya nao wanalamba asali, "nchi imefunguka....","watu wana uhuru wa kuongea...".Ndipo unakuja kugundua kuna maeneo Magu alizipiga pini,biashara za kijanja janja za familia zao.

Dada taifa hata anachokifanya haki heleweki, kawageuka mpaka walikuwa wakimpa kichwa.

Tz hamna mwaharakati wengi wa njaa,biashara zao magumashi na ndio maana hawana msimamo.

Ila sio tunao umia ni Sukuma Gang, wale wenye mimba za chuki za Mwendazake wapo Burundi wanalamba asali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…