Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

Huku tunashangilia tu kubambikwa mitozo kibao
 

Yamefanyika haya huko bila uongozi wa mtu yeyote? Unapaonaje hapa mkuu kuwa pa kuanzia?

Muda wa mapinduzi vyamani ni sasa
 
Kwani uliowataja hao wote ni wabunge?ubunge umpe mtu mwingine afu kukusemea umuite mtu mwingine🙄

Tanzania,CCM haipendwi lakini hakuna upinzani wa kweli.
Wapinzani wa kweli ila hakuna mtanzania jasiri, nchi zilizofanya mapinduzi ni vyama vya upinzani vilisaidia au ni raia wenyewe?

Mapinduzi ya kweli yanapaswa kuwa kwa mtaz wala si vyama. Acha tuvune uoga wetu maana hakuna jinsi
 
Mpaka akili zikae sawa
Hakuna cha akili kukaa sawa wala nini. Hakuna movement bila viongozi tena viongozi wa maana.

Tusilaumiane: Wako wapi kina Nyerere, Maalim Seif, Mtikila, Julius Malema au kina Tutu

Waliokuwa JKNIA au Kiluvya ni wafuasi. Hao hao ndiyo wa "join the chain" na hata waliowatoa hadi kina Bulaya mbaroni.

Labda mkuu wewe ni kipi ulichofanya zaidi kudhani kadamnasi hiyo hapo juu ingali akili zake hazimo sawa?

Si kuwa walioko madarakani tunapaswa kuwaomba kuachia ngazi au kuwafurusha kama hawafai?
 
Jamaa hawajui shida za wananchi wanashindana kununua v8 tupu
 
Kazi iendelee. Mitano Tena 💪
 

Attachments

  • IMG-20220831-WA0349.jpg
    52.6 KB · Views: 3
Wakiwatetea wao peke yao ndiyo wanakula kisago, hakuna support kutoka kwa wananchi. Na juu yake munawacheka.

Sasa bora mtu aendelee na maisha yake na familia yake mpaka siku yake ya kuondoka duniani ikifika aende zake kimya kimya.
Safi kabisa,
Huwezi kutetea kitu ambacho hakijitambui.
 
Kwanini wewe na mumeo msiwe wapinzani wa kweli mkuu?
Huna nia nzuri na Mimi mkuu,unataka nivunjwe kiuno?!mi naupenda UGALI,au watoto wangu utanilelea wewe?😁

Siko tayari kufa kwa ajili ya Tanzania,Kama inapasuka wacha ipasuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…