Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

Wapinzani wa kweli ila hakuna mtanzania jasiri, nchi zilizofanya mapinduzi ni vyama vya upinzani vilisaidia au ni raia wenyewe?

Mapinduzi ya kweli yanapaswa kuwa kwa mtaz wala si vyama. Acha tuvune uoga wetu maana hakuna jins
Nakubaliana na wewe,lakini vyama vinaundwa na wananchi,Wananchi waoga huunda vyama dhaifu,visvyoweza kushindana katika uchaguzi,vyama vyenye wanachama wanaonunulika kirahisi na CHAMA tawala.
Vyama dhaifu huzaa wananchi dhaifu wasoweza kufanya MAPINDUZI na kinyume chake Ni kweli.
 

Wananchi waoga unawaona ukiwa umesimama wapi mkuu?

Upinzani - walio waoga (cowards) si Wafuasi
 
Pana jamaa pale kijitonyama hii ndiyo speciality yao sasa:

Tuwatambue wanaohaha kutusambaratisha kama Taifa

Wewe ni mmoja wao mkuu?
Hapana mkuu mi siyo mmoja wao Ila sitaki kushikiwa akili zangu na hawa wanasiasa,iwe Ni wa CCM au CHADEMA!
Wanasiasa wa Tanzania ni wa maigizo Sana aisee,bahati mbaya watu wachache wametutawala tuliowengi.
Mwisho wa wapiga kelele(wapinzani) siku zote Ni mbaya na huishia kuchekwa tuu na wananchi.
Ben saanane,Tundulisu,Mbowe,Mdude,n.k wamesulubiwa pasi na msaada wa wananchi,Siasa Ni Nyoko kwa Tanzania labda uwe chama Tawala.
 
Ukimya umekuwa mkubwa kwa wanaharakati na wanasiasa ,ukimya ambao unashtusha na kutia hofu kubwa.

Leo hii yupo wapi Zitto Kabwe tuliyemzoea kukosoa serikali kwa hoja zenye mashiko, yupo wapi Freeman mbowe na tindu lissu was
Ndugu yangu, kusubiri mwanaharakati, wanasiasa na siku hizi hata mbunge wako ambaye unadhani anawasilisha maslai ya wananchi wake bungeni ni kujidanganya! Hao wanasiasa uliowataja kuwa walikuwa makini kupaza sauti zamani ukumbuke pia serikali inawapa luzuku ya kuendesha vyama vyao, sasa.. unategemea nini? Inafikirisha eenhe! Mteteze wa wananchi katika haya yanayoendelea ni mtanzania mwenyewe (serikali ni wewe) na sheria mama ambayo hili nalo ni jipu! ikifika muda wa wewe kufanya maamuzi 2025 mkipewa T-shirt, kofia na vikoi unasahau haya yote!
 
Endelea tu kupambana na matatizo ya wakwe na baridi la usiku haya mengine ni kuumiza kichwa!
 
Wananchi waoga unawaona ukiwa umesimama wapi mkuu?

Upinzani - walio waoga (cowards) si Wafuasi
Mkuu Mimi Ni miongoni mwa Watanzania wachache walioonja Cha mtema kuni kwenye siasa za kuwa mpinzani!!
Ukitaka uwe adui wa umma Tanzania,toa mawazo yaliyo kinyume na Yale ya serikali au chama Tawala!

Narudia tena Tanzania Ni kosa kutofautiana mawazo na kiongozi wako,na ikitokea hivyo wewe utakuwa adui wa umma na siyo uliyetofautiana naye pekee!
 

Mkuu inatia moyo kama wewe siye mmoja wa hawa jamaa:

Tuwatambue wenye kutaka kutuaminisha kuwa tu waoga
 
Simama peke yako pale ulipo! usitegemee mtu akusemee! Hata Mbowe alipofungwa mpo mlioungana na mfumo kumuita gaidi.
Get the pinch from hot pot dude and wake up!
 
Simama peke yako pale ulipo! usitegemee mtu akusemee! Hata Mbowe alipofungwa mpo mlioungana na mfumo kumuita gaidi.
Get the pinch from hot pot dude and wake up!
Tulipaza sauti ndio akaachiwa umesahau kuweni na shukran nyinyi m bw a wa ufipa
 
Mbona hufanyi press conference ukasema ukweli shida nini nyinyi ndio watu tunaowategemea umesahau kipindi Cha magu hadi ukaitwa bungeni na ndugai Yale makali yapo wapi ? Bwana pasco
Mwandishi wa habari afanye press conference?!. Ni kinyume cha maadili!.
P
 
Hao ni WAHUNI TU ...WALIMPINGA MAGUFULI USIKU NA MCHANA KWA SABABU WANATUMIWA NA MAFISADI YA NJE NAYA NDANI YA NCHI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…