Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

Hofu? Tufanye je sasa? Tusalimu amri?

Tuwatambue wenye kutaka kutuaminisha kuwa tu waoga
 
Kuwatetea wabongo ni sawa na kubeba zigo la misumari,wakati wanapambana kazi yenu ilikuwa ni kuwatukana na kuwakejeli, sasa Kila mtu abebe zigo lake mwenyewe ,lipa tozo kwa lazima
 
Nimesikia ka clip humu JF Mbowe akijaribu kusimama na wananchi japo ninkama kajirecord kwenye simu ya tochi ili akiulizwa asali alokula aruke kimanga na kama sikosei inaishiria ndo maana anajibaraguza kishikaji
 
Kwani uliowataja hao wote ni wabunge?ubunge umpe mtu mwingine afu kukusemea umuite mtu mwingine🙄

Tanzania,CCM haipendwi lakini hakuna upinzani wa kweli.
Upinzani wa kweli wewe unaujua?.
Unapenda wenzio wakutetee ukiwa umelala halafu wao waumie.
Pambana mwenyewe.
 
Nimesikia ka clip humu JF Mbowe akijaribu kusimama na wananchi japo ninkama kajirecord kwenye simu ya tochi ili akiulizwa asali alokula aruke kimanga na kama sikosei inaishiria ndo maana anajibaraguza kishikaji
Anajikosha tu hakuna Cha maana
 
Narina tu wengine wanalamba wengine baba
Hakuna mrinaji mwenye kushangilia uozo huu:

Kwani hujui hata Mwigulu, vibaraka na chawa wao hujiita warina asali kana itasaidia kutupoteza watudhaniao wajinga sisi, maboya?
 
Hakuna mrinaji mwenye kushangilia uozo huu:

View attachment 2341804

Kwani hujui hata Mwigulu, vibaraka na chawa wao hujiita warina asali kana itasaidia kutupoteza watudhaniao wajinga sisi, maboya?
Mkuu nadhani ninayo hasira kuzidi ya kwako . Siku nikiungana na hawa wapuuzi wanaotufanya nyumbu kulamba asali zitakuwa siku za mwisho naturally nachukia wanaodhani sisi tunawajibika kuishi maisha haya wao wakilamba asali so I just have to give it a break maana maisha ni.mafupi .ila kuona hizi kelele ni bit of light at the end of tunnel mwisho wao unakuja
 
Hadi kufikia kuandika uzi huu:

"Walamba asali wanapoufurahia "ujinga" wetu"

Tungali kwenye makasiriko tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…