Wapo watakaosalia, na huu ndo ujumbe mioyoni mwao

Mbepo yamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
1,466
Reaction score
2,285
Palitokea Rais mmoja mwanamke aliyerithi kiti hiko na akawa mbaya kupita maelezo. Wakosoaji wake aliwaua, akawapoteza na wengine akasimamia wafirwe. Viongozi wa dini akawatesa na wengine wakanusurika kifo.

Mshindani wake mkuu alimuweka kwenye njia ya kunyongwa mpaka kufa.

Rais yule alikuwa na nasaba za shetani
 
Vipi kuhusu hatma yake!!
 
Ukimuona nyoka anakunywa sumu msaidie anywe haraka haraka
 
Mfa mji haachi kutapatapa ni mashindano kati ya Nuru na giza
 
Back
Top Bottom