Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,466
- 2,285
Vipi kuhusu hatma yake!!Palitokea Rais mmoja mwanamke aliyerithi kiti hiko na akawa mbaya kupita maelezo. Wakosoaji wake aliwaua, akawapoteza na wengine akasimamia wafirwe. Viongozi wa dini akawatesa na wengine wakanusurika kifo.
Mshindani wake mkuu alimuweka kwenye njia ya kunyongwa mpaka kufa.
Rais yule alikuwa na nasaba za shetani
Sijui. Ila vifua vimefuraVipi kuhusu hatma yake!!
Sijui ni kwa sababu naye hana elimu ila ya kuungaunga?Mama anatengeneza bomu hata MAGUFULI hakuthubutu