Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.
Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Mkuu unataka kutuambia hata wakituambia Leo ni tarehe 30 June ni vema kuangalia kalenda kwanza kabla ya kuwaamini?Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.
Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Mtu asiyeaminika ni Tundu LisuNdani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.
Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Ishu si wapi kinatoka alichokisema, basi msemajiNadhani shida ya Wabongo mnapendelea alternative facts, nina uhakika Magufuli akiquote Bible bado kuna watu wataenda kuhakikisha kama iko sahihi
Kwa nini tusiende kuhakikisha kama alisema Yohana alimezwa kwenda tundu la Simba...wakati ni Daniel ndio aliyemezwa.Nadhani shida ya Wabongo mnapendelea alternative facts, nina uhakika Magufuli akiquote Bible bado kuna watu wataenda kuhakikisha kama iko sahihi
Si kwa sababu ya ulaghai wake haaminikiNadhani shida ya Wabongo mnapendelea alternative facts, nina uhakika Magufuli akiquote Bible bado kuna watu wataenda kuhakikisha kama iko sahihi
😆😆😆Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.
Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Hawa watu wanajipiga sound wenyeweNdani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.
Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Humphrey Polepole ni kiboko alipoongea baada ya uchakachuaji wa serikali za mitaa ninampa PhD ya uongo.Umewaacha;
1. Godbless Lema
2. Peter Msigwa
3 Humphrey Polepole
4. n.k
Nimecheka sana sana mkuuHuyo namba moja ni balaa sana juzi kasema tangu aingie madarakani kazalisha ajira milioni sita na zaidi.
Ajira milioni sita kwa tz hii saivi kusingekuwepo na vijana wanalialia huku Mtandaoni kutafuta ajira.
Hilo lijamaa ni liongo, shetani kasingiziwa,Nimecheka sana sana mkuu
Mahandaki toka amezaliwa kayaona uingereza tu, wakati kule tazara yapo mengi tu
Ee bwana umepatia!Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.
Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Hao wa mitandaoni ni BAVICHA, huwezi ukawa huna kazi (kipato) ukashinda mitandaoni! Hao BAVICHA wa mitandaoni wanalipwa na mabeberu kusingizia hawana kazi!Huyo namba moja ni balaa sana juzi kasema tangu aingie madarakani kazalisha ajira milioni sita na zaidi.
Ajira milioni sita kwa tz hii saivi kusingekuwepo na vijana wanalialia huku Mtandaoni kutafuta ajira.