Wapo watu wanne ndani ya nchi hii wakikuambia jambo nenda katafute ukweli kwingine kabla ya kulichukua kama lilivyo!

Wapo watu wanne ndani ya nchi hii wakikuambia jambo nenda katafute ukweli kwingine kabla ya kulichukua kama lilivyo!

Ongezea na Mchungaji Peter Msigwa maana ni mmbea huyo akishaumbuka kwa umbea anaomba msamaha, pia Zitto Kabwe na yeye kwa umbea hajambo
Shida ninayoiona kwako na hilo linatokana na vyuo ulivyosomea hujui kutofautisha kati ya umbeya na ukweli. Ndiyo maana mpaka leo unaaminishwa kwamba Tanzania ina uchumi wa kati nawe unakenua na kukata mauno kama zuzu. Hovyoooo
 
NOT, amesema ni kipindi chake cha mwisho ila ni wajinga tu watakaomuamini. Kwa mfano asipoimaliza miradi mikubwa unadhani atatoka? Na marafiki zake kina Kagame/ Museven ambao tangu enzi hizo "WAPO"
 
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.

Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Duh, ila ka Kabudi bwana! Huwa kananifurahisha kanavyotoaga macho aisee! Dah, dada Ndalichako yeye aliniua na kile Kiingereza cha professeur "I will put you insaidi"
 
Back
Top Bottom