Wapo watu wanne ndani ya nchi hii wakikuambia jambo nenda katafute ukweli kwingine kabla ya kulichukua kama lilivyo!

Wapo watu wanne ndani ya nchi hii wakikuambia jambo nenda katafute ukweli kwingine kabla ya kulichukua kama lilivyo!

Alishikilia hilo jambo utasema kweli tutashtakiwa,huwa nafikiriga huyo jamaa akiwa Rais itakuaje?
Unajua alichofanya Magufuli kisha akarudi kukudanganya?
 
Nnaemwogopa zaidi kumwamini ni mwanasiasa, yeyote aliyepo kwenye hilo kundi simwamini.
 
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.

Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
No. moko muongo mpaka anajisahau, alafu akishajishtukia utasikia (Fulani oyeee huku akijichekesha mwenyewe.......)😂😂😂
 
Jina la pili la Daniel unalijua? Mwandishi wa habari za tukio hilo ni nani kwenye Bible?
Acha kujifanya kubadirisha maelezo kama vile hujaelewa. Kwani mzee alimwongelea mwandishi au alimwongelea aliyetupwa kwenye shimo la simba?
 
Unajua alichofanya Magufuli kisha akarudi kukudanganya?
Mimi siwezi kudanganywa maana siwekagi imani kwa wanasiasa,huwa nawajua si watu wa kuwaamini na nilivyokuwa sina ushabiki wa vyama ndio kabisa hao watu hawanidanganyi.
 
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.

Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Kabisa tena Mzee wa Bila tashwishwi anaongea jicho kavu limemtoka kama mjusi kabanwa na mlango.
 
Aaaa wapi utopolo tupu
Kwa mawazo yako we unafikiri vyuo vikuu vya tanzania kwa mwaka vinazalisha wahitimu wangap? Ukipata jibu zidisha mara miaka 5, ajira kweli zinaweza kuwa zimezalishwa lakin ujue pia wahitimu wanaozalishwa ni wengi, un employment rate kwa TZ bado ni ndogo na watu wengi wapo kwenye informal sector
 
1: Makonda
2: Peter Msigwa(refer issue ya kinana)
3: Pole pole
4: Mbowe
5: Ali Kiba(kununua airport shinyanga)
 
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.

Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Polepole
 
Back
Top Bottom