Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No. moko muongo mpaka anajisahau, alafu akishajishtukia utasikia (Fulani oyeee huku akijichekesha mwenyewe.......)😂😂😂Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.
Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Anaamini anaijua sheria kuliko mtu yeyote na bahati mbaya kuna kikundi kinamuamini/aminisha hivyoAlishikilia hilo jambo utasema kweli tutashtakiwa,huwa nafikiriga huyo jamaa akiwa Rais itakuaje?
Viwanda mia kila mkoa.
Acha kujifanya kubadirisha maelezo kama vile hujaelewa. Kwani mzee alimwongelea mwandishi au alimwongelea aliyetupwa kwenye shimo la simba?Jina la pili la Daniel unalijua? Mwandishi wa habari za tukio hilo ni nani kwenye Bible?
Mzee wa "tumeibiwa munoo" hana mpinzani
Mimi siwezi kudanganywa maana siwekagi imani kwa wanasiasa,huwa nawajua si watu wa kuwaamini na nilivyokuwa sina ushabiki wa vyama ndio kabisa hao watu hawanidanganyi.Unajua alichofanya Magufuli kisha akarudi kukudanganya?
Kabisa tena Mzee wa Bila tashwishwi anaongea jicho kavu limemtoka kama mjusi kabanwa na mlango.Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.
Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Yule hata akikwambia ni usiku, wewe toka nje kahakikishe.Nadhani shida ya Wabongo mnapendelea alternative facts, nina uhakika Magufuli akiquote Bible bado kuna watu wataenda kuhakikisha kama iko sahihi
Kwa mawazo yako we unafikiri vyuo vikuu vya tanzania kwa mwaka vinazalisha wahitimu wangap? Ukipata jibu zidisha mara miaka 5, ajira kweli zinaweza kuwa zimezalishwa lakin ujue pia wahitimu wanaozalishwa ni wengi, un employment rate kwa TZ bado ni ndogo na watu wengi wapo kwenye informal sector
Ukiona Ndali anaanza ze ze ze! Jua kumekucha, kumekuuchaaa.Sema mama Ndalichako msanii sana atanavopepetaga mdomo wake unajua kabisa huu ni uongo
Jamaa ni muongo shetani anasubiri
Na wewe umeanza usanii Kama hao ndugu zako? Karudie kusoma acha Uzuzu.Jina la pili la Daniel unalijua? Mwandishi wa habari za tukio hilo ni nani kwenye Bible?
Walishatuonaje hawa jamaa yaani wandanganya mchana kweupe mpaka unajiuliza.Hilo lijamaa ni liongo,shetani kasingiziwa,
PolepoleNdani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.
Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda