Wapo watu wanne ndani ya nchi hii wakikuambia jambo nenda katafute ukweli kwingine kabla ya kulichukua kama lilivyo!

Hakuna aliyeboa kama Tundu Lissu, kabisa alikuwa anatuambia wananchi et kama Lowassa fisadi mbona hajashtakiwa? anatumbia twende mahakamani.
Mchawi mpe mtoto akulelee wewe mjini.EL ni fisadi wa ukweli Ila wa kumfunga hayupo,hata huyu bush man wenu anayejitapa kupambana na ufisadi kwa EL kapiga magoti
 
Ila hawamfikii Mbowe na team yake kuwaaminisha wananchi kuwa Lowasa hafai halafu na kuwaaminisha Tena anafaa
Ilikuwa Mbowe ndio kawaaminisha hivyo. Lakini hapa full squad ya CCM na serikali ndio inasema hivyo ikipingana na maneno ya Msukuma kuwa "ameji..."
Nani sasa watakuwa waongo hapo?

Milioni sita na zaidi kidogo ya wakazi wote wa Dar including watoto na wazee.Huyu jamaa sijui ccm walimtoa wapi?
 
Ilikuwa Mbowe ndio kawaaminisha hivyo. Lakini hapa full squad ya CCM na serikali ndio inasema hivyo ikipingana na maneno ya Msukuma kuwa "ameji..."
Nani sasa watakuwa waongo hapo?

Mbowe kazidi sana umchafue lowasa halafu umsafishe halafu umuuzie nafasi kugombea uraisi!!! Msigwa anashika nafasi ya pili emedanganya kuhusu kinana mpaka akanukuu vifungu vya bibilia halafu akaita waandishi na kumuomba radhi,
 
Ajira rasmi pekee umeona Madaktari 1000 juzi wakiajiriwa pia kumbuka majeshi ya ulinzi na Usalama wanaajiri na wao hawawezi kuweka idadi yao hadharani saana labda uamua kuzitafuta.

Aidha Wizara na Halmashauri zimekua zikiajiri pia japo kwa upande huu wa ajira rasmi unaweza kusema idadi sio kubwa Kama ambavyo imefanyika kwenye sekta zisizo rasmi.

Anyways Mkuu anazo data na takwimu nyingi toka kwenye authorized sources kuliko Mimi na wewe hivyo akisema hivyo anaweza kuclaim to be true.
 
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.

Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
no 2 aliniacha hoi kuhusu dawa ya madagascar...duh...
 
Mchawi mpe mtoto akulelee wewe mjini.EL ni fisadi wa ukweli Ila wa kumfunga hayupo,hata huyu bush man wenu anayejitapa kupambana na ufisadi kwa EL kapiga magoti.
Hao wanaoshindwa kumfunga walikataa huyo jamaa kuwa rais ila hao waliyokuwa wakimpigia kelele za ufisadi ndio walitaka awe rais. Hao ndio wanasiasa.
 
Hao wanaoshindwa kumfunga walikataa huyo jamaa kuwa rais ila hao waliyokuwa wakimpigia kelele za ufisadi ndio walitaka awe rais. Hao ndio wanasiasa.
Sasa serikali si wamfunge?
 
Hao wanaoshindwa kumfunga walikataa huyo jamaa kuwa rais ila hao waliyokuwa wakimpigia kelele za ufisadi ndio walitaka awe rais. Hao ndio wanasiasa.
Mkuu kwani ufisadi ni nini?
 
Acha kutetea ujinga? Watu milioni sita unadhani mchezo? Kwanza tuambie serikali kwa ujumla wake Ina wafanyakazi wangapi?
 
Alternative facts ni zipi?
Nadhani shida ya Wabongo mnapendelea alternative facts, nina uhakika Magufuli akiquote Bible bado kuna watu wataenda kuhakikisha kama iko sahihi
 
Leo namba moja katuambia kuwa Tanzania Tanzania imekuwa nchi ya uchumi wa kati. Yani hata statement ya world bank ambayo tumeisoma ameamua kutudanganya!
 
Kweli kabisa hata aki-quote Bibke wapo tutakaofuatilia kama ni kweli, kwani hukumbuki aliposema Daniel alitupwa kwenye tanuru la moto wakati siyo kweli, waliotupwa kwenye tanuru la moto ni Shedrak, Meshak na Abednego.
Nyamaza!
 
Hiyo no 4 ungeweka leprofeser ingebalance vizuri.
 
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.

Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda
Ongezea na Mchungaji Peter Msigwa maana ni mmbea huyo akishaumbuka kwa umbea anaomba msamaha, pia Zitto Kabwe na yeye kwa umbea hajambo
 
Ndani ya hii nchi kuna watu wanne ambao wakikwambia jambo basi usilichukue kabla ya kutafuta ukweli wake kwingine.

Watu hao ni
1. Dkt. John Pombe Magufuli.
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Prof. Joyce Ndalichako
4. Paul Makonda

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…