Wapoloooh wapoloooh eeh

Wapoloooh wapoloooh eeh

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
3,070
Reaction score
4,698
Habarini za asubuhi wakuu poleni na majukumu

Leo nyimbo ya ndugu zetu weusi weusi wapoloooh imepata bahati ya kuskilizwa na mimi maji ya gundu, Nilioyaona kwene hii nyimbo ni haya

moja: Beat ya hii nyimbo ni kama wamechukua beat moja hivi ya stereo ameimba na chid benz nyimbo inaitwa "ukonga na ilala" ila walichokifanya wameimodify tuu

mbili:Hii nyimbo hawa jamaa wameimba matusi sana hasa G Nako kuna mstari anasema "kaja ghetto kapigwa mande" yaani anamaanisha demu kaenda ghetto afu kapigwa mtungo

tatu:Hii video ya hali ya chini sana yaani utafikiri tupo enzi za dully sykes "baby candy" yaani kwa kifupi ubunifu 0

NB: Ni mtazamo tu
 
Hawa machalii tangu waje dar wanazingua kichiz mpk yule niki amewaiga wanaume wa dar kwa kumvisha demu wake pete huku amepiga magoti


Wapoloooooooooo
 
Hawa machalii tangu waje dar wanazingua kichiz mpk yule niki amewaiga wanaume wa dar kwa kumvisha demu wake pete huku amepiga magoti


Wapoloooooooooo
aaaah uyo ndo wanazingua wazi wazi afu cha ajabu eti ndio msemaji wa wasanii
 
Back
Top Bottom