Kumpongeza mgombea kwa kutambua jitihada zake binafsi za kupigania haki na uhuru kwa wananchi wa nchi hii, katika mazingira magumu ni jambo la kheri na lenye thawabu kubwa kwa mwenyezi Mungu.
Tundu Lissu kajitoa kupambana vilivyo. Pamoja vizingiti, kejeli, matusi na kubezwa kwake na wanaomchukia kwa sababu zao binafsi, amesimama imara.
"Tundu Lissu popote ulipo tambua kuwa haupo peke yako."
Alipo tupo. Tunafarijika naye tukiamini pasipo shaka kuwa ushindi ni dhahiri na umekaribia mno.
Anapoendelea na kampeni zake rasmi na akatambue kuwa hayuko peke yake. Nasi kwa upande wetu tunaendelea na kampeni zetu za ana kwa ana kwa wapendwa wetu, majirani zetu, wafanyakazi wenzetu nk, kuona kura zetu sote kwa kadri iwezekanavyo ni kwake.
Your browser is not able to display this video.

Ni dhahiri kuwa nchi hii baada ya miaka 60, inastahili mabadiliko. Nchi hii inamhitaji mtu mwenye uthubutu kama Tundu Lissu kupokea kijiti kutoka kwa Magufuli. Nchi hii inahitaji chama kingine madarakani zaidi ya CCM.
Ewe Magufuli, CCM, polisi, tume, mahakama, nk mabadiliko ya hatamu za uongozi kwa mujibu wa katiba si uhaini. Ni jambo la afya tu kwa ustawi wetu sote.

Kuchagua chama kingine kutafanya CCM waamke maana sasa hivi ukweli ni kua wamelala na wataendelea kulala kama kila muda wanachukua ushindi kirahisi tu, yaani ukiwa CCM ukapewa nafasi ya kugombea hata ukikaa bure tu unajua next time mambo bado yatakua safi tu. Hawa tukiwaangusha watakaa wasuke chama upya waache ujinga
Kumpongeza mgombea kwa kutambua jitihada zake binafsi za kupigania haki na uhuru kwa wananchi wa nchi hii, katika mazingira magumu ni jambo la kheri na lenye thawabu kubwa kwa mwenyezi Mungu.
Tundu Lissu kajitoa kupambana vilivyo. Pamoja vizingiti, kejeli, matusi na kubezwa kwake na wanaomchukia kwa sababu zao binafsi, amesimama imara.
"Tundu Lissu popote ulipo tambua kuwa haupo peke yako."
Alipo tupo. Tunafarijika naye tukiamini pasipo shaka kuwa ushindi ni dhahiri na umekaribia mno.
Anapoendelea na kampeni zake rasmi na akatambue kuwa hayuko peke yake. Nasi kwa upande wetu tunaendelea na kampeni zetu za ana kwa ana kwa wapendwa wetu, majirani zetu, wafanyakazi wenzetu nk, kuona kura zetu sote kwa kadri iwezekanavyo ni kwake.
Ni dhahiri kuwa nchi hii baada ya miaka 60, inastahili mabadiliko. Nchi hii inamhitaji mtu mwenye uthubutu kama Tundu Lissu kupokea kijiti kutoka kwa Magufuli. Nchi hii inahitaji chama kingine madarakani zaidi ya CCM.
Ewe Magufuli, CCM, polisi, tume, mahakama, nk mabadiliko ya hatamu za uongozi kwa mujibu wa katiba si uhaini. Ni jambo la afya tu kwa ustawi wetu sote.
Jpm na tume yake wanahangaika kupika matokeo muda wote, tutapiga kura kwa lissu ili kurudisha haki, umoja, amani na mshikamano wa taifa letu.Tunataka taifa litakalotenda haki kwa watu wote bila kujali vyama vyao, haki zao na maeneo watokako.Kiongozi yeyote avunjaye haki za watu hatumtaki hata akajenga mabarabara mpaka angani.Jpm akapumzike chato kama rais mstaafu kuanzia November.
CCM inatawala kwa mazoea, maendeleo ya nchi hii yataharakishwa na kutokumbatia aina moja ya watawala miaka nenda rudi. Ccm ikiwekwa pembeni basi itajipanga ije na sera nzuri na majibu halisia ya umaskini wa watanzania. Vivyo hivyo kwa upinzani, wakishinda watajitahidi kuyapatia majibu ya haraka matatizo sugu ya watanzania.
Ndo raha yenu eeh, ndo maana hatutaki kuendelea na serikali inayosimamia uvunjifu wa haki za watu, tunataka serikali na tume itakayoheshimu haki za wengine na hata wapinzani wake. Tunataka rais atakaye heshimu haki za wengine hata kama hawakupendi.Jpm akapumzike chato
Kumpongeza mgombea kwa kutambua jitihada zake binafsi za kupigania haki na uhuru kwa wananchi wa nchi hii, katika mazingira magumu ni jambo la kheri na lenye thawabu kubwa kwa mwenyezi Mungu.
Tundu Lissu kajitoa kupambana vilivyo. Pamoja vizingiti, kejeli, matusi na kubezwa kwake na wanaomchukia kwa sababu zao binafsi, amesimama imara.
"Tundu Lissu popote ulipo tambua kuwa haupo peke yako."
Alipo tupo. Tunafarijika naye tukiamini pasipo shaka kuwa ushindi ni dhahiri na umekaribia mno.
Anapoendelea na kampeni zake rasmi na akatambue kuwa hayuko peke yake. Nasi kwa upande wetu tunaendelea na kampeni zetu za ana kwa ana kwa wapendwa wetu, majirani zetu, wafanyakazi wenzetu nk, kuona kura zetu sote kwa kadri iwezekanavyo ni kwake.
Ni dhahiri kuwa nchi hii baada ya miaka 60, inastahili mabadiliko. Nchi hii inamhitaji mtu mwenye uthubutu kama Tundu Lissu kupokea kijiti kutoka kwa Magufuli. Nchi hii inahitaji chama kingine madarakani zaidi ya CCM.
Ewe Magufuli, CCM, polisi, tume, mahakama, nk mabadiliko ya hatamu za uongozi kwa mujibu wa katiba si uhaini. Ni jambo la afya tu kwa ustawi wetu sote.
Mungu anipe uzima, hyo tarehe 28 nina jambo langu, kichinjio changu kinasubiri kufyekelea mbali utawala dhalimu uliotutesa ndani ya miaka mitano na unaotaka kuendelea kututesa raia wake.
Leo nilikuwa na wazee wangu huku dumila ndani ndani ambao ukikuwa huwaambii kitu kuhusu ccm, nilikuwa nina mda sijawachk nikataka nikawape darasa kdg kuhusu hyu mkomboz wa tz, baada ya salam ata kabla sijasema neno babu akadakia "tunamsubiri kwa hamu lissu aje na huku pengine anaweza akawa mkomboz wetu kwa haya mateso tunayopitia" kwakweli kazi yangu iliyonipeleka ikawa nyepes sana.