Wapuuzeni Msijibu yale matusi ya vijana wa Chaumma waliokimbia Chadema kwa mahaba ya mbowe wana ajenda yao

Wapuuzeni Msijibu yale matusi ya vijana wa Chaumma waliokimbia Chadema kwa mahaba ya mbowe wana ajenda yao

Msemajiwao

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2016
Posts
758
Reaction score
1,819
Kuna wale vijana waliotoka chadema kwa ridhaa yao na kuhamia chauma baada ya ajenda yao kujulikana.

Hawa vijana wanatafta attention kupitia kuitukana chadema na maneno yasiyo na tija mtandaoni!

Watu hao wanaotumia kurasa za mitandao ya kijamii kuishambulia zaidi chadema.

Wana ajenda kuu mbili tu;

1. Kutafta attention za kisiasa
2. Kujionesha wao ni bora ili kupora nafasi za UVCCM

WATU HAO WAPUUZENI MSIWAJIBU KATIKA KURASA ZAO Ikiwezekana mnaweza kuwa UNFOLLOW kwani hata hapo walipofika ni kwa huruma zenu tu maana hawana elimu yoyote kichwani zaidi ya kuishi kwa ujanja ujanja mjini
 
Katika hili nimemshangaa Ndg Jericho Nyerere
Kila siku huko mitaa ya Facebook na Instagram anakomaa kuanzisha post za kuishambulia CDM
Kiasi kwamba nimeanza kuwa na wasiwasi na elimu yake
Kwasababu anayoyafanya hayana tija kwake katika harakati za kukua kisiasa
Au ndiyo kazi aliyopewa baada ya kuukosa ubunge?
 
Back
Top Bottom