Chilla moko
Senior Member
- May 5, 2020
- 140
- 284
Wapwa mnafanya fanyaje mpaka mnapata wachumba humu mi mbona sielewi!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si ndio kama hivi umeshaweka picha yko subiri tu atakayevutiwa na wewe atakuja pm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si ndio kama hivi umeshaweka picha yko subiri tu atakayevutiwa na wewe atakuja pm
Umejua kunifurahisha.Si ndio kama hivi umeshaweka picha yko subiri tu atakayevutiwa na wewe atakuja pm
Awe tu mvumilivu maana kuweka picha ni moja na kukubaliwa ni jambo jingineUmejua kunifurahisha.
Hehehehehehe😂😂😂😂🙌Si ndio kama hivi umeshaweka picha yko subiri tu atakayevutiwa na wewe atakuja pm
Leejay49Acha tu mzee. Mi kuna mmoja tu namtaka. Sijawahi muona face ila jina na mwandiko wake mi oi.
Anaanzia na L
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🤣Si ndio kama hivi umeshaweka picha yko subiri tu atakayevutiwa na wewe atakuja pm
🤣🤣🤣🤣🙌Hehehehehehe😂😂😂😂🙌
Jamani 😃😃😃😃,, sio mimi 😂😂🙌
Nimecheka jamani khaa 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🙌
Yesu wangu. Hii inatisha🤯😱Wapwa mnafanya fanyaje mpaka mnapata wachumba humu mi mbona sielewi!? View attachment 2705316
Ni wewe bana 🤣🤣Jamani 😃😃😃😃,, sio mimi 😂😂🙌
Huyo kishua sana braza..
Heee! Kumbe?Si ndio kama hivi umeshaweka picha yko subiri tu atakayevutiwa na wewe atakuja pm