Wapwa na mabinamu zangu nisaidieni kufanya uchaguzi

Mi naona za kike ni nzuri zaidi kwa sbb unakuwa unahisi km unapiga bare footed tu! Na hapo hazitakufrustrate wewe mchapaji!
 
Mi naona za kike ni nzuri zaidi kwa sbb unakuwa unahisi km unapiga bare footed tu! Na hapo hazitakufrustrate wewe mchapaji!

Hili wazo lako ntalifikisha kwa mama mtoto wangu kama lilivyo. Naona lina mvuto flani.
 
Mimi sababu zangu za kuvaa kondomu ni hygen, kwa jinsi nilivyo bishoo huwa naona soo sana kuchafua mshedede na maji ya mule ndani ndio maana naweka water proof.

Lol! Mpwa! Hahahaha! water proof? I deserve kupata ufafanuzi.
 
Lol! Mpwa! Hahahaha! water proof? I deserve kupata ufafanuzi.

mpwa unajua ile sehemu basi kwakuwa wengi wametokea huko(isipokuwa wale wa kisu) si salama sana, watalaamu wanakwambia kuna bacteria wa kutisha mno, sisi tunaoweka midomo huko tukimaliza huwa tunatumia mouth wash sasa kwa wale wanaoloweka nanii zao kuna d..k wash kwani? ndio maana natumia ile miplastiki kujizuia nisichafuke.
 
dah...kaazi kweli kweli mkuu! sasa bi mkubwa apo juu atakubali kweli haya mambo ya condom au utabadilika kama kwenye avatar?😀
 
Tumia FAMILIA. Kuna matangazo siku hizi ya kondomu aina hii. Wanasema hii ndiyo kondomu maalumu kwa wanandoa.
 
Hahahaha! Shemeji twende kwenye point sasa. Ya kiume au ya kike?

tumieni tu za kiume, niliwahi tumia na mbinti mmoja hizi za kike baada ya mechi tulikuta imepotelea ndani! ilibidi kufanya kazi ya ziada kuichomoa!
 
Pole sana mdogo wangu... wengi wa wazoefu huachia tu kwa nje ya goli!! Ina maana hiyo huwezi?
 
Tumia FAMILIA. Kuna matangazo siku hizi ya kondomu aina hii. Wanasema hii ndiyo kondomu maalumu kwa wanandoa.
hiyo bado!
tumia rafu raida kaka/dada!(sijajua kama wewe ni HE,au SHE)
 
Mpwa umenivunjia mbavu zangu tatu. Lol! Hahahahaha!
 
Pole sana mdogo wangu... wengi wa wazoefu huachia tu kwa nje ya goli!! Ina maana hiyo huwezi?

Umri ushaenda huu. Vitu vikishuka ni preshapresha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…