Wapwaz! (na mabiniamuuz!):Will you guys organise the bag-party for the groom

maana tupo karibu kumtoa Iribini huko sasa tena Nguli akidumbukia hapo tumefanya nini.....Ngoja tukaze buti. asante kwa neno la matumaini!!!

Aiseee ngoja niwahi Zero pub! Kiu naona inataka kuua!
 
duh!
wazee nimetoka kidogo tu narudu nakuta page tatu zimekatika!lol
 
Hivi kuna folenie? Kwa hiyo nianzie breki pointi siyo? SENKSI fo ze infomesheni!

hufiki hata pale...leo kaa mpaka saa tatu hivi ndo uanze mdogomdogo, hm mid night
 
Isije ikawa janja ya Maria Magdalena kumbania Yusuf asipate divai na wafuasi wake!
 
he he heheheh!
mpwaa iz on his wei tu hiveni!
btw,unajua pale bai naiti mimi nilishatibuana na watu wa jikoni!niliwazozobokea vibaya mno walichelewesha mdudu😀
 
Now stop that nonsense and tell the acting Jesus' dady the truth!

hata huo u-acting utanyang'anywa u dizev tu bi Tomaso wewe usiye amini!!! nenda na u wil b stak kwa barabara for hrs. kwani si kanuni inayojulikana DSM KUKIWA NA MVUA NA FOLENI NDO MWAKE
 
kwa iyo mam'aa la bht unadhani ni sehemu gani nzuri kwa sisi kukutana(tukiisubiria foleni)!😀
 
he he heheheh!
mpwaa iz on his wei tu hiveni!
btw,unajua pale bai naiti mimi nilishatibuana na watu wa jikoni!niliwazozobokea vibaya mno walichelewesha mdudu😀

Leo naona nianzie benki klabu!
 
kwa iyo mam'aa la bht unadhani ni sehemu gani nzuri kwa sisi kukutana(tukiisubiria foleni)!😀

Mpwa leo tukifanya masihara hatutapata divai ujue! Foleni nasikia inatisha!
 
please continue preaching to the me the good news! Haleluya!!!!!!!!!!
 
Hahaha! Mamaa la carmel! Leo nadhani giza litanikuta mitaa ya sinza nikiwa nakula ze mduduz samwhea.
 
Back
Top Bottom