Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Mchumba mambo ya kichina haya,au huyapendi? sema mpenzi,nipo tayari kuchange kwa ajili yako.
Ntashukuru ukifanya hivyo, kama hutajali lakini!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchumba mambo ya kichina haya,au huyapendi? sema mpenzi,nipo tayari kuchange kwa ajili yako.
tufanye practical tuone....next trip sijui tunaenda mbuga gani huko ndo utajua.
kwa kuwa nakupenda,ntakutii na kukuheshimu daimaNtashukuru ukifanya hivyo, kama hutajali lakini!
kwa kuwa nakupenda,ntakutii na kukuheshimu daima
We unamwogopa nyoka?
Thats my girl! Nadhani kina bht watiga mfano wako kwa wawapendao! Leo tukapate wapi mvinyo? I real miss you my girl!
Tayari,si umeona eeh! mie nataka manguli lakini.Unipitie ofcn ukishatoka venue iwe siri,si unajua malejendi mchumba watatuvamia?Wataanza zile za kutulinda,teh teh ,yu noo woram seying!Thats my girl! Nadhani kina bht watiga mfano wako kwa wawapendao! Leo tukapate wapi mvinyo? I real miss you my girl!
thats my girl! Nadhani kina bht wataiga mfano wako kwa wawapendao! Leo tukapate wapi mvinyo? i real miss you my girl!
tayari,si umeona eeh! Mie nataka manguli lakini.unipitie ofcn ukishatoka venue iwe siri,si unajua malejendi mchumba watatuvamia?wataanza zile za kutulinda,teh teh ,yu noo woram seying!
Love in the air! Lakini zd si hanywi mvinyo, angalia usije ukamtia majaribuni.
Carmel usiwe na shaka,mie nameinteini manguli makubwa.Love in the air! Lakini zd si hanywi mvinyo, angalia usije ukamtia majaribuni.
ni suala la timing hapa nikimtime namponda kichwa akinitime aniponde kisigino
weekend love huwa inaanzia hapa!😀
mv mapenzi!!!
More dataz ni kwamba Nguli yupo mbioni kuachana na nguli type stay tuned wapwa.
More dataz ni kwamba Nguli yupo mbioni kuachana na nguli type stay tuned wapwa.