Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Hahahahahaha!Uwii na kilio nimlilie aende akijua ntammiss sana!
Shem nina ujumbe wako toka kwa Rev Masa!
Yuko salama kwenye gereza la VIP kule yeye anaitwa Rev Mtikila na ni mnyapala. Yuko vizuri mtunzie kiumbe chake anasema anakupnda sana kuliko uhai wake. Enzi pendo lake usisikilize wachongaji. Huyu anayetaka jiuwa mchungaji amemruhusu atanunua jeneza. Huu ni ujumbe kutoka kwa bro Rev Masa