Waraka Kwa Wakristo Wote: Yezebeli Kahaba Mkuu ni Hatari LAKINI...

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Nanukuu mafungu yafuatayo toka kwenye kitabu pekee kitakatifu.

Ufunuo wa Yohana 2:20
[20]Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.

2 Wafalme 9:37
[37]Na mzoga wa Yezebeli utakuwa kama mavi juu ya uso wa mashamba, katika kiwanja cha Yezreeli; hata wasipate kusema, Huyu ni Yezebeli.

Hili ndilo neno la Bwana leo. Mbarikiwe sana.
 
Mkuu, hizo nukuu kutoka katika aya za maandiko zinahitaji ufafanuzi zaidi ili kulipatanisha neno la unabii. Tafadhali ongezea nyama zaidi ili tuipime hiyo hatari ya kiroho kutoka kwa Yezebeli.
 
Sawa mkuu nitaongeza nyama.
 
Back
Top Bottom