Nanukuu mafungu yafuatayo toka kwenye kitabu pekee kitakatifu.
Ufunuo wa Yohana 2:20
[20]Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.
2 Wafalme 9:37
[37]Na mzoga wa Yezebeli utakuwa kama mavi juu ya uso wa mashamba, katika kiwanja cha Yezreeli; hata wasipate kusema, Huyu ni Yezebeli.
Hili ndilo neno la Bwana leo. Mbarikiwe sana.