Babylon tower
Member
- Mar 31, 2014
- 60
- 11
hiyo kaka ni writing skills ambayo nmeitumia ili kudraw attention kwa wasomaji na wala cijakosea au usomagi magazeti kujua ni namna gani kichwa cha habari kinahusika kumvuta msomaji????huu sio waraka ticha! hilo ni uangazo! mama wee
Ndugu walimu wenzangu nilikuwa napendekeza tupge sensa ni wangapi tumekosa hizi ajira ili kama ifikapo tar.25/4/2014 kama majina yetu yatakuwa hayajatoka tuweze kwenda moja kwa moja mpaka TAMISEMI MAKAO MAKUU-DOM ili tukajue hatima yetu. kama ikibid ntatoa namba yangu kwa njia ya inbox bt mpka sasa nawafahamu watu hamsin from saut mwanza ,saut tbr na udsm, asanteni
Mkuu wahanga tupo wengi ila izo data itakuwa ngumu kuzipata kuna mtu 1 muhimu sana pale wizara ya elimu labda huyo angeweza kutusaidia kama mimi nimetokea saut-morogoro pale Juco na isitoshe wengi wao wapo mikoani awajuwi ata nini kinaendelea maskini ya mungu bora ata mimi na wewe tunaendaga uko tamisemi
Moro tc tupo around 50 babylon,marangu kama 46,
kwa hiyo we unafikiri tuwape muda gani ili tuweze kwenda kule aiseeeee
Uspoteze muda chkua majina yawanaoilalamikia ajira ya ualm peleka Tamisem wakureplace make tnafanya mzaha na ajira tsome alama za nyakati
hiyo kaka
ni writing skills ambayo nmeitumia ili kudraw attention kwa wasomaji na
wala cijakosea au usomagi magazeti kujua ni namna gani kichwa cha
habari kinahusika kumvuta msomaji????
Moro tc tupo around 50 babylon,marangu kama 46,
kwa uandishi huo ndo maana hujaajiriwa
Kumbe mkuu ulikuwa pale kigurunyembe
Ndio mcharge,vp we uko mkoa gani mkuu?
i think kagamee u should mind your own ----ing businesskwa uandishi huo ndo maana hujaajiriwa
Haina noma mkuuMi nafikiri iwe mwanzo wa mwezi mei at tareh 1