Babylon tower
Member
- Mar 31, 2014
- 60
- 11
Ndugu walimu wenzangu nilikuwa napendekeza tupge sensa ni wangapi tumekosa hizi ajira ili kama ifikapo tar.25/4/2014 kama majina yetu yatakuwa hayajatoka tuweze kwenda moja kwa moja mpaka TAMISEMI MAKAO MAKUU-DOM ili tukajue hatima yetu. kama ikibid ntatoa namba yangu kwa njia ya inbox bt mpka sasa nawafahamu watu hamsin from saut mwanza ,saut tbr na udsm, asanteni