Waraka kwa Walimu waliohitimu masomo yao lakini hawajaajiriwa.

Ndugu walimu wenzangu nilikuwa napendekeza tupge sensa ni wangapi tumekosa hizi ajira ili kama ifikapo tar.25/4/2014 kama majina yetu yatakuwa hayajatoka tuweze kwenda moja kwa moja mpaka TAMISEMI MAKAO MAKUU-DOM ili tukajue hatima yetu. kama ikibid ntatoa namba yangu kwa njia ya inbox bt mpka sasa nawafahamu watu hamsin from saut mwanza ,saut tbr na udsm, asanteni

Chuo cha ualimu korogwe stashahada wapo karibuni 195,wazo lako nizuri ila ingekua vyema ujumbe huu ungesambazwa kama SMS kwa kila moja maana wanao ingia JF niwachache sana na wahanga ni wengi .
 
Unajua sijawaelewa, mnahamasishana ili mkadai kazi au? Maana inawezekana mwajiri hana uwezo wa kuajiri sasa nyinyi mnapotaka kulazimisha kupewa ajira siwaelewi! Je mkiajiriwa na kutolipwa mtamlaumu nani? Mi nawashauri kama nyinyi ni professional na creative jikusanyeni na mbuni mradi wa ku
waingizia kipato na sio kulazimisha kuajiriwa. Kwani kufanya hivyo mnaidharirisha taaluma yenu! Unaweza kuishi kwa kufanya kitu kingine sio lazima ushike chaki!!
 
Kama hujaelewa mbona umechangia? hata hivyo ni haki yetu kudai? kwahiyo sioni cha ajabu hapo.
 
Unajua sijawaelewa, mnahamasishana ili mkadai kazi au? Maana inawezekana mwajiri hana uwezo wa kuajiri sasa nyinyi mnapotaka kulazimisha kupewa ajira siwaelewi! Je mkiajiriwa na kutolipwa mtamlaumu nani? Mi nawashauri kama nyinyi ni professional na creative jikusanyeni na mbuni mradi wa ku
waingizia kipato na sio kulazimisha kuajiriwa. Kwani kufanya hivyo mnaidharirisha taaluma yenu! Unaweza kuishi kwa kufanya kitu kingine sio lazima ushike chaki!!

Kama auna hoja ya msingi sio lazima uchangie, naona kama ujielewi shame on you
 
Unajua sijawaelewa, mnahamasishana ili mkadai kazi au? Maana inawezekana mwajiri hana uwezo wa kuajiri sasa nyinyi mnapotaka kulazimisha kupewa ajira siwaelewi! Je mkiajiriwa na kutolipwa mtamlaumu nani? Mi nawashauri kama nyinyi ni professional na creative jikusanyeni na mbuni mradi wa ku
waingizia kipato na sio kulazimisha kuajiriwa. Kwani kufanya hivyo mnaidharirisha taaluma yenu! Unaweza kuishi kwa kufanya kitu kingine sio lazima ushike chaki!!

Hebu tuambie ni kazi gani mbadala unaweza kukifanya kwa hii fani ya ufundishaji? ufundishaji
 
Back
Top Bottom