Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
WekaaaHahahahaaa. Ile watasema nimeiba ya mtu bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WekaaaHahahahaaa. Ile watasema nimeiba ya mtu bure.
Nikajua unaskindikza na bunch of roses around ur pic [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo huyoHuyo ndio yule anaetema yai?? Nianze kudownload englishswahil dictionary??
Usijali nitakuokota tu teh!Hahahaha
We si upo bhana uta niokota?
KhaaaaaaNikajua unaskindikza na bunch of roses around ur pic [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
EwaaaUsijali nitakuokota tu teh!
Nini sasa.Khaaaaaa
Sikujua kama wewe ni Muhenga kiasi hiki japo huwa unashinda Makapuku Forum tu....hivi sikukwambia, yule mganga alirogwa, sasa haongei yupo tu anajikalia chini tu. Inabidi tutafute mganga aliyemroga , mtaasisi Nyagei asingekuwa mshika dini angeweza kutusaidia
sawa muzungu [emoji16][emoji16][emoji16]Sawa samuel
Anko binamu hivi unakosaje kunipa inffo kama hizo kwa wakatiii ...ila asante sina cha kuogopa kwa yule cheusi wake...hivi sikukwambia, yule mganga alirogwa, sasa haongei yupo tu anajikalia chini tu. Inabidi tutafute mganga aliyemroga , mtaasisi Nyagei asingekuwa mshika dini angeweza kutusaidia
Sikujua kama wewe ni Muhenga kiasi hiki japo huwa unashinda Makapuku Forum tu.
Ivi kabla ya Makapuku ulikuwa unatembelea majukwaa yapi mkuu.?
MhAnko binamu hivi unakosaje kunipa inffo kama hizo kwa wakatiii ...ila asante sina cha kuogopa kwa yule cheusi wake
NimtajeeeeeeeKumbe ni yupi?[emoji23] [emoji23]
Anko binamu hivi unakosaje kunipa inffo kama hizo kwa wakatiii ...ila asante sina cha kuogopa kwa yule cheusi wake
Kesho safariiii....ningekupa hizo info mapema ungerudi kumbeba kabisa yule mrembo wa mganga. Bora nilivyochelewesha cheusi auguze mgonjwa
Nitajio hiyo idYupo mbona hata hapa alikuwepo ngoja aje ya sergio imefungiwa maisha nahisi
Ngoja aniruhusu kwanzaNitajio hiyo id
Kesho safariiii
OoohAngalia usije kumharibia kwa mods
Mh....sasa itabidi ujipange maana kanda ya kaskazini imeamua kurudisha majeshi japo maadui wanaongezeka kila siku. Hawa maadui inabidi unitumie hela nikutafutie mafuta ya baraka tuwaroge washindwe kuomuona aunt yangu