Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Hahahahahhaa"Da mange shunie katoa avatar ya kigauni chekundu"
Hide my id
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahhaa"Da mange shunie katoa avatar ya kigauni chekundu"
Hide my id
Nitajie pmOooh
Mkuu me ni mke wa mtuKama ndo wewe kwenye avatar hii,basi naamini hata uliyoitoa ni wewe!
Mama,niko tayari kukuhonga meli..tafadhali njoo pm!
Ya kale kakatuni sikapendiHahaha ya viatu vya bluu au ya kale kakatuni
Za masiku my friend aisee nilijiuliza vipi huyu mtuSema ameshajua
Yaan me ukiweka heels kama hivyo sawa ukiniwekea vikatuni yaan nakupoteaNlitoaga zile za bluu shunie akapoteana[emoji23]
HahahahahaHapo ndyo umemtongoza?
Hivi alimaanishaje hapo akaniambia eti amesahauHahahaha na hivi una utaalam wa kuchepuka wew,utamsaidia kuzigundua hizo njia
Habari yaka mama sabyUmalaya tu unawasumbua
Pm situmii mie atakutafuta mwenyewe yupo hapaNitajie pm
Nzuri tuHabari yaka mama saby
Nshamuona huyu y..Pm situmii mie atakutafuta mwenyewe yupo hapa
SawaNshamuona huyu y..
Hahaha mafisi hapo utasikia ndio tunawapendaga nyie sio wasumbufuMkuu me ni mke wa mtu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha mafisi hapo utasikia ndio tunawapendaga nyie sio wasumbufu
Okay...nakupa tu salamuNzuri tu
Nimefurahi kukuona u mzimaKwema kaka nipe habari
Sawa kaka,tutakuwa na interview kila wiki Mara moja!Sure hata mimi nimefurahi kukuona na kuona interview zimerudi