Waraka kwako shunie

...hivi sikukwambia, yule mganga alirogwa, sasa haongei yupo tu anajikalia chini tu. Inabidi tutafute mganga aliyemroga , mtaasisi Nyagei asingekuwa mshika dini angeweza kutusaidia
Sikujua kama wewe ni Muhenga kiasi hiki japo huwa unashinda Makapuku Forum tu.

Ivi kabla ya Makapuku ulikuwa unatembelea majukwaa yapi mkuu.?
 
Anko binamu hivi unakosaje kunipa inffo kama hizo kwa wakatiii ...ila asante sina cha kuogopa kwa yule cheusi wake
 
....ha hahahhaha, siasani kidogo na kimataifa kabla ya kuunganisha majina. Makapuku kuna kila kitu, uwe unatembelea mara nyingi.

FYI: Nimejiunga makapuku wakati nasubiri mtoto wangu azaliwe, Jamii Dokta ilinishawishi
 
Anko binamu hivi unakosaje kunipa inffo kama hizo kwa wakatiii ...ila asante sina cha kuogopa kwa yule cheusi wake

....ningekupa hizo info mapema ungerudi kumbeba kabisa yule mrembo wa mganga. Bora nilivyochelewesha cheusi auguze mgonjwa
 
Kesho safariiii

....sasa itabidi ujipange maana kanda ya kaskazini imeamua kurudisha majeshi japo maadui wanaongezeka kila siku. Hawa maadui inabidi unitumie hela nikutafutie mafuta ya baraka tuwaroge washindwe kuomuona aunt yangu
 
Mh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…