DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Lol! Avatar zile zimenigombanisha na baby kapeace!Na wee turudishie misambwanda yetuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol! Avatar zile zimenigombanisha na baby kapeace!Na wee turudishie misambwanda yetuuu
Hahahahaa. Embu uko hajui hiyo vipiMxxiuuee super star my foot wangemjua sasa shunie mwenyewe [emoji3][emoji3][emoji3] hate kujaa hajai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]demiss na wewe tuwekee ile ya beach.....hii ya lips tamu tumeichoka[emoji1] [emoji1] [emoji1]
binamu hivi mganga wetu anaweza kutupokea tena kwa yaliyotokea yale ??Mwaka huu kazi unayo, yaani unashambuliwa kama mti wa mwembe shule ya kata
![]()
Wengeziii mkeeUliandika jaman kuchepuka sijui kukirudisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikiwemo
Hajui uchungu Wa make huyu! Hasa kama ulitoa mahali zizi la ng'ombe!Etii bwana dj ni haki kwelii ??
Yaaan wewe unavyonihisi sio mm nilikuitikia tushunie hana tela wala nini nishamuotea london pub[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Eeeh! Ile mi nlikuwa naikubali mnooo.Ile ya mdada mzuri mweusi? Naitoa na hii ngoja nikatafute tafute gallery
Yaaan hawa watu wanatakiwa kupigwa shabaHajui uchungu Wa make huyu! Hasa kama ulitoa mahali zizi la ng'ombe!
MmmmmhhhSasa mi nawajali basi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ukijali maoni ya watu wa JF unakua tahira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwehu weweFungua youtube acc mi nakua manager wako
SioHivi wewe ndio Sergio!
HapanaHivi wewe ndio Sergio!
Sijui yuko wapi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nijazeniiii najazika
hahaha I was just joking you my dear.....london nishaenda not more than 3 timesYaaan wewe unavyonihisi sio mm nilikuitikia tu
Ahahhh yaan nyieHahahahaa atapiga hela
Ana nyota ya kupendwa/kutamaniwa Shunie.
Ana tim kubwa sana hapa jf