Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

Chama kinahitaji aina tofauti za watu, Lema ni mmojawapo lakini pia aina ya siasa zake ni muhimu sana kwa siasa za sasa!
 

Asante kwa kutujuja hilo,hata mimi sikulielewa
 
Umenifanya na mie nicheke. Kumbe huwa unaelewa, ila basi tu....

ZeMarcopo ni mtanzania mwenzetu, na yeye anawajibika kufanya kazi inayomuweka mjini, lakini nje ya kazi akili yake ni nzuri tu.
 
Jambo lingine nililo jifunza kumbe kuna wanasiasa wavivu kufanya kazi za kujiingizia kipato..wakifukuzwa uanachama hali inakuwa mbaya sana

Hapa ndio wale wanaosema fedha za CHADEMA zinaishia makao makuu wanavuliwa nguo pia, Kama Mwigamba anagongea Milioni mbili alikuwa analipwa shilingi ngapi? aje hapa kwa IDs zake atueleze? au kwenye hiyo milioni mbili amefactor na price ya usaliti?
 

mie siwazi haya ambayo yanaweza kuondolewa kwa sheria ...na uwajibikaji...lakini nawaza makosa ambayo tunaweza kufanya hatimae tukawa kama uganda ya iddi amini au ujerumani ya hitler...huo ndio was was wangu ...
 
Chama kinahitaji aina tofauti za watu, Lema ni mmojawapo lakini pia aina ya siasa zake ni muhimu sana kwa siasa za sasa!

Kwa hapa nchi ilipofikia ni vema tungepata rais wa aina ya Lema ingekua poa sana.!!
 
huu waraka umeandaliwa kisayansi na ukweli chadema hawakupaswa kuuotoa hadharani ni kakati mzuri sana kwao ..umeandaliwa kisomi na unatekelezeka.
laiti wangekubali kuufata basi safari yao ya kuingia ikulu ingekua nyepesi...lakini kutokana na jazba na kutojua siasa wao wame chukulia ni uhaini..huu ni mkakati wa ndani wa wakati wa kinyanganyiro cha uongozi wa chama na hauhusiani na mapinduzi bali ni mkakati wa kuleta mabadiliko mazuri ndani ya cdm..
lakini kwa walio madarakani kwao ni hatari ..nafasi zao mashakani......
lakini ni ujinga kwanza kuutoa hadharani na pili kuwa ndio sababu za kuachishwa uongozi....
hili sio sula la kutumiwa wala kununuliwa
hakika ni mkakati waisomi....na only them watafahamu kwamba huu ulikua mpango madhubuti....
lakini akili ndogo....ya kupiga madisco ndio imelazimisha kupotosha kwa faida yao ya muda mfupi...
 
...kwa wale tuliokuwa UDSM 1996 hadi 1999/2000, mnamkumbuka rais wa DARUSO aliekuwa FoE? (Naomba mtu anikumbushe jina lake maana nimelisahau ila alikuwa msukuma). Huyu bwana alifanya vizuri tu undergraduate yake mbona hakuwa retained kuwa Tutorial Assistant kama Dr Mkumbo? Na jamaa huyu nisiemkumbuka jina lake alifukuzwa maeneo ya chuo wakati anasubiri kufanya interview Dar (hakuwa mwenyeji wala kuwa na ndugu Dar) na nakumbuka jamii ya wanafunzi wa UDSM kutoka Uganda ndio waliomchangia pesa ya kuishi akisubiri interview yake wakitambua mchango wake kwao (Mungu anisamehe kwani hata mie sikuchangia japo shilling!).

Am asking myself aloud : Je, sababu ya Dr Mkumbo kuwa retained na rais wetu wa DARUSO kabla yake kunyimwa haiwezi kuwa alienyimwa alikuwa anatetea haki wakati aliepewa alikuwa kibaraka???
JUST THINKING ALOUD!
 
Bw. Mbowe, tafadhali sana malizia muda wako uondoke. Kung'ang'ania madaraka kunakutia aibu na kutia chama aibu. Kwani hiyo nafasi uliinunua? Tatizo la wachagga ndo hilo. Mnapenda sana usultani. Ndo maana vyama vyote vinavyoongozwa na wachagga balaa. Hawataki kuachia madaraka kwa hiari. Angalia mrema, mbatia n.k. Hii ni kwa sababu ya kwamba kwenye vyama vya upinzani kuna loose money. Unajua mchagga akiona tundu la hela balaa. Kumtoa mchagga kwenye nafasi yenye hela ni kubana uchochoro wa kutolea hela. Ataondoka mwenyewe na hata ukimbembeleza vipi abaki hatakubali. Mbowe hana haja ya kingine bali kupora fedha ndo maana hata audit cdm ni ndoto. Wanacdm tuamke. Ugonvi wote huu ni pesa tu. Ndo sababu ccm ilianzisha mtego wa ruzuku ikijua kuwa ndo itakuwa inasambaratisha vyama vya upinzani. Pumbafu kabisaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
 
Mi nilidhani unauliza ni kwa nini ajira yake serikalini haijasitishwa kama ya baregu ukizingatia nafasi zao za kisiasa ndani ya Chadema ni zilezile??
 

Kuanzia sasa nyaraka za zito zitumike hata CCM.
 

Asante kwa taaarifa hii Mkuu. Viva Godbless Lema.
 
Kani huu waraka una kasoro gani??? Mbona ni wa kawaida katika chama kinachoamini freedom of expession kama cdm??? Huu sio waraka wa kumfukuza mtu hata kidogo. Pumbafuuuuuu
 

Kama iliwezekana kufukuzwa wengine...mwaka huu wakafukuzwa wengine watu wakaogopa na mikwara kibao, lkn mbona yamepita na Chama kiko Imara? sembuse ZZK na team yake? Waondoke tu na chuki zao binafsi na kukesha kutafuta nguvu za giza.
 
Mi nilidhani unauliza ni kwa nini ajira yake serikalini haijasitishwa kama ya baregu ukizingatia nafasi zao za kisiasa ndani ya Chadema ni zilezile??

Huoni kwamba scenario unayoiuliza ilianzia na nilichokiulizia? And why Prof Mukandala alipewa u-VC immediately baada ya kufanya "utafiti" wake REDET?
 
point ipo tena yenye maaan sana kulilko hata uavyodhani huo ni zaidi ya usaliti
 
Mi nilidhani unauliza ni kwa nini ajira yake serikalini haijasitishwa kama ya baregu ukizingatia nafasi zao za kisiasa ndani ya Chadema ni zilezile??
Baregu alistaafu kwa mujibu wa sheria.Kitila hajafikisha umri wa kustaafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…