Makete Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 8, 2012
- 531
- 165
Jambo lingine nililo jifunza kumbe kuna wanasiasa wavivu kufanya kazi za kujiingizia kipato..wakifukuzwa uanachama hali inakuwa mbaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati Mh. Godbless Lema, Mbunge wa Arusha mjini aliporipotiwa na vyombo vingi vya habari kuwa alimrushia tofali mwenyekiti wa chadema mkoa wa Arusha aliyesimamishwa ndugu Mwigamba na kuamuru anyang'ang'we Laptop yake ili ichunguzwe, Mimi ni mmojawapo ambaye niliona kile kilikuwa kitendo cha uonevu sana. Ilifikia hadi ndugu yangu mwanasheria Nyaronyo Kicheere kutoa ule uchambuzi wake mahili ulio-classify aina ya makundi yaliyopo chadema, kundi la Lema akiliita ni la watu wa kutumia mabavu.
Lakini ukiangalia vizuri kile kitendo alichokifanya Lema ndicho kilicho-trigger a chain of events hatimaye chama kikapata ushahidi usio wa mashaka wa usaliti ndani ya chama. Tokea kwisha kwa uchaguzi wa mwaka 2010 kumekuwepo tuhuma za usaliti zikiwaandama watu kadhaa kinara wao akiwepo ni Zitto, lakini kwa kuwa mwanasiasa huyu anajua kusafisha traces/clue kwenye mambo haya palikuwa hakuna sehemu ya kumbana. Zitto ni mjanja kama walivyo wanasiasa wengine ambao huwa hawaachi trace za ushahidi katika uovu wao. Zitto mara nyingi amesikika kwenye vyombo vya habari akisema mwenye ushahidi wa tuhuma zake alete. anajua matendo anayoyafanya gizani ni ngumu mtu kutoa ushahidi ingawa ushahidi wa mazingira wa tuhuma zake nyingi ni mkubwa kuliko hata huo ushahidi anaouomba. Nafikiri ni sababu hii ya ushahidi wa mazingira kuwa mkubwa sana ndio iliyopelekea hata uongozi wa chama chake kumweka pembeni kwenye baadhi ya shuguli za chama jambo ambalo lipo dhahili shahili tokea siku nyingi.
Kama ilivyo katika sheria, "there is no perfect crime", katika uhalifu wowote ule lazima kutakuwa na clue zilizoachwa na perpertrators wake. Watu waki-dig dipper tu watazipata hizo clue. Cahedema isingeweza kuchimbua tuhuma za zito kwa undani kwa kuwa haina instrument za kuweza kufanya hivyo kama ilivyo serikali, lakini hata hivyo ilijitahidi kupata ushahidi mwingi sana wa mazingira ambapo zitto ame-appear mara nyingi akiwa at the centre of the saga. Mimi naomba kusema kuwa nimeona umuhimu wa kuwepo lile kundi la chadema mabavu linaloongozwa na Mhe. Lema kwa kuwa bila lile kundi si ajabu 2015 tungehujumiwa kuliko kawaida na ingetukatisha tamaa wapenda mabadiliko wengi sana.
Umenifanya na mie nicheke. Kumbe huwa unaelewa, ila basi tu....
Jambo lingine nililo jifunza kumbe kuna wanasiasa wavivu kufanya kazi za kujiingizia kipato..wakifukuzwa uanachama hali inakuwa mbaya sana
yaani wewe mwezi mchangaa kabisaaa,,,,watu hatufikirii kupanga safu ya baraza,,watu tunafikiria tutashindaje uchaguzi,,,,,na kubwa zaidi tunafikiria kapuya atawabaka wanawake wangapi mkesha wa mwaka mpya,,,tunafikiria kapuya atawaambukiza wangapi ukimwi,,,tunafikiria tembo wetu watabaki wangapi mwaka 2013 ikiwa watu na meli zao wanasafirisha matani ya meno ya tembooo....
Chama kinahitaji aina tofauti za watu, Lema ni mmojawapo lakini pia aina ya siasa zake ni muhimu sana kwa siasa za sasa!
Bw. Mbowe, tafadhali sana malizia muda wako uondoke. Kung'ang'ania madaraka kunakutia aibu na kutia chama aibu. Kwani hiyo nafasi uliinunua? Tatizo la wachagga ndo hilo. Mnapenda sana usultani. Ndo maana vyama vyote vinavyoongozwa na wachagga balaa. Hawataki kuachia madaraka kwa hiari. Angalia mrema, mbatia n.k. Hii ni kwa sababu ya kwamba kwenye vyama vya upinzani kuna loose money. Unajua mchagga akiona tundu la hela balaa. Kumtoa mchagga kwenye nafasi yenye hela ni kubana uchochoro wa kutolea hela. Ataondoka mwenyewe na hata ukimbembeleza vipi abaki hatakubali. Mbowe hana haja ya kingine bali kupora fedha ndo maana hata audit cdm ni ndoto. Wanacdm tuamke. Ugonvi wote huu ni pesa tu. Ndo sababu ccm ilianzisha mtego wa ruzuku ikijua kuwa nd itakuwa inasambaratisha vyama vya upinzani. Pumbafuuuuuuuuu kabisaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!
Wakati Mh. Godbless Lema, Mbunge wa Arusha mjini aliporipotiwa na vyombo vingi vya habari kuwa alimrushia tofali mwenyekiti wa chadema mkoa wa Arusha aliyesimamishwa ndugu Mwigamba na kuamuru anyang'ang'we Laptop yake ili ichunguzwe, Mimi ni mmojawapo ambaye niliona kile kilikuwa kitendo cha uonevu sana. Ilifikia hadi ndugu yangu mwanasheria Nyaronyo Kicheere kutoa ule uchambuzi wake mahili ulio-classify aina ya makundi yaliyopo chadema, kundi la Lema akiliita ni la watu wa kutumia mabavu.
Lakini ukiangalia vizuri kile kitendo alichokifanya Lema ndicho kilicho-trigger a chain of events hatimaye chama kikapata ushahidi usio wa mashaka wa usaliti ndani ya chama. Tokea kwisha kwa uchaguzi wa mwaka 2010 kumekuwepo tuhuma za usaliti zikiwaandama watu kadhaa kinara wao akiwepo ni Zitto, lakini kwa kuwa mwanasiasa huyu anajua kusafisha traces/clue kwenye mambo haya palikuwa hakuna sehemu ya kumbana. Zitto ni mjanja kama walivyo wanasiasa wengine ambao huwa hawaachi trace za ushahidi katika uovu wao. Zitto mara nyingi amesikika kwenye vyombo vya habari akisema mwenye ushahidi wa tuhuma zake alete. anajua matendo anayoyafanya gizani ni ngumu mtu kutoa ushahidi ingawa ushahidi wa mazingira wa tuhuma zake nyingi ni mkubwa kuliko hata huo ushahidi anaouomba. Nafikiri ni sababu hii ya ushahidi wa mazingira kuwa mkubwa sana ndio iliyopelekea hata uongozi wa chama chake kumweka pembeni kwenye baadhi ya shuguli za chama jambo ambalo lipo dhahili shahili tokea siku nyingi.
Kama ilivyo katika sheria, "there is no perfect crime", katika uhalifu wowote ule lazima kutakuwa na clue zilizoachwa na perpertrators wake. Watu waki-dig dipper tu watazipata hizo clue. Cahedema isingeweza kuchimbua tuhuma za zito kwa undani kwa kuwa haina instrument za kuweza kufanya hivyo kama ilivyo serikali, lakini hata hivyo ilijitahidi kupata ushahidi mwingi sana wa mazingira ambapo zitto ame-appear mara nyingi akiwa at the centre of the saga. Mimi naomba kusema kuwa nimeona umuhimu wa kuwepo lile kundi la chadema mabavu linaloongozwa na Mhe. Lema kwa kuwa bila lile kundi si ajabu 2015 tungehujumiwa kuliko kawaida na ingetukatisha tamaa wapenda mabadiliko wengi sana.
Mi nilidhani unauliza ni kwa nini ajira yake serikalini haijasitishwa kama ya baregu ukizingatia nafasi zao za kisiasa ndani ya Chadema ni zilezile??
Ni kweli mheshimiwa Kigoma ndio waliombeba na kuibeba Chadema hapo mkoani lakini kwa uongozi huu wa kiimla wa kuendesha chama kama mali ya mtu binafsi, utaratibu huu wa kutoruhusu watu kutoa maoni na mitazamo yao, utaratibu huu wa kuzuia demokrasia-Chadema kimejimaliza.Lakini tujiulize kwa kina, isije ikawa wajumbe hawa waliotoa maamuzi ya kukidhoofisha chama wanatumiwa na CCM.Tusishangae kesho au keshokutwa hata Slaa naye akajitoa chama kikabaki na kina Mbowe, Lema, Mtei, Kimario, Swai, Sawaki,Mrema n.k. Ama kweli yaliyosemwa sasa yanaonekana ni kweli ,hiki chama ni maalum kwa watu maalum kwa malengo maalum hakina uhusiano na maendeleo ya wananchi. CCM SHANGILIENI MKALE BATA MAANA CHAMA KILICHOANZA KUWA NA NGUVU SASA CHALI.Kitapona kwa miujiza tu
Mi nilidhani unauliza ni kwa nini ajira yake serikalini haijasitishwa kama ya baregu ukizingatia nafasi zao za kisiasa ndani ya Chadema ni zilezile??
Baregu alistaafu kwa mujibu wa sheria.Kitila hajafikisha umri wa kustaafuMi nilidhani unauliza ni kwa nini ajira yake serikalini haijasitishwa kama ya baregu ukizingatia nafasi zao za kisiasa ndani ya Chadema ni zilezile??