Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,236
- 1,411
mwamba wa kaskazini huyo magamba wakimsikia wanatawanyika kama mapepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
G. J. Lema daima pongezi atapata ndani ya Nchi yetu.
Ni wale mafisadi tu ndiyo wanafiki.
God bless Lema ni mwamba. Huyu jamaa anatisha sana.
CCM walitambua kitambo..Ndio maana wakatengeneza picha kumchafua Lema..Ili kumziba mdomo..
Lakini CDM ni zaidi ya wanavyo ijua ...
sometimes ubabe unasaidia
Pongezi za kupiga wenzake kwa matofali? Kweli vijana wa mtei sasa akili zenu zimechoka kufikiri.
Tunashukuru Lema alitufungua masikio, tulikuwa hatujui kama Zitto ni mwongo kuwa eti hapokei posho huku anapokea mamilioni za kifisadi kutoka ccm, tunashukuru kuwa Lema ametusaidia kujua Zitto ni msaliti mkubwa tena mhaini anayekwamisha harakati za ukombozi wa nchi hii.
Tunamshukuru Jason Bourne kwa taarifa za kiintelijensia japo chama imeikana kisiasa lakini ukweli unabaki pale pale kuwa Zitto alikuwa anatumiwa fedha na ccm ujerumani
chadema ni zaidi ya jina la mtu.
God Bless Lema
God Bless CDM
God Bless Tanganyika
God Bless Tanzania
Tatizo lenu nyie wapambe wa Lema mnadhani Tanzania yote kama Stendi ya vifodi au Sakina.
Tunashukuru Lema alitufungua masikio, tulikuwa hatujui kama Zitto ni mwongo kuwa eti hapokei posho huku anapokea mamilioni za kifisadi kutoka ccm, tunashukuru kuwa Lema ametusaidia kujua Zitto ni msaliti mkubwa tena mhaini anayekwamisha harakati za ukombozi wa nchi hii.
Tunamshukuru Jason Bourne kwa taarifa za kiintelijensia japo chama imeikana kisiasa lakini ukweli unabaki pale pale kuwa Zitto alikuwa anatumiwa fedha na ccm ujerumani
chadema ni zaidi ya jina la mtu.
God Bless Lema
God Bless CDM
God Bless Tanganyika
God Bless Tanzania
Anamtishia nani?